Uchaguzi 2020 Kitakachombeba Tundu Lissu uchaguzi 2020

miaka mitano hakuna ajira vijana tunateseka mtaani,kura ni kwa lisuuu
 
Nataman kujua taarifa unayotamani kunipa ni ipi hata sijui.
Yani nikiona bongo fleva wanavyonyang'anyana peremende za CCM halafu kule Nigeria wasanii wana mahela lakini bado wanatumia ushawishi wao kuchochea mabadiliko kwenye jamii na mifumo ya nchi nasikia hasira mpka natamani kupiga ngumi ukuta…

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu kuanzia babu yako baba yako wote hawajawahi kuchangia chochote katika hayo mabadiliko wewe ndo unajaribu alafu unajaribu kuwapa lawama watafuta mkate kama unayemtumikia.
 
Huna lolote were, msaliti ni magufuli, kawaacha solemba walio mchagua. Nakumbuka alusema akichaguliwa watumushi watapata maisha bora na kila kitu kitakua safi. Atakua mtetezi wa wanyonge.
Wanyonge hawapandi ndege, wala treni, wanyonge wanahitaji kuishi vema. VIJANA wao wapate kazi, hali itendeke, Uhuru wa mwananchi, kuheshi katiba. Vyote hivi kavitupilia mbali. Kajawa na kiburi alikua amejisahau kwamba cheo ni dhamana na kwamba kuna uchaguzi kila baada ya miaka mitano. Alidhani atauwa upinzani, kumbe ndo kauimarisha zaidi.
Wajua watanzania tuwe na makali ya kumuwajibisha kiongozi ilikuweka mfano. Sio lazima uongoze miaka kumi, sio lazima. Kuna mmbadala, na kuwafanya watawala kuheshimu wapiga kura.

CCM wanadharau sana wapiga kura, wanaona watanzania wajinga ndo maana wanajitamba wataongoza miaka 100 au daima. Kama sio kutumia nguvu ya dola, ccm ingekua ishatoka madarakani kitambo. Ila upanga wa dola wakati mwingine huwageukia. Hivyo vyombo vya dola vikisha vhoka na porojo, vinawatupa na wanaangunga vibaya. Na ni HUU mwaka, au 2025.
 
Labda watanzania wa chato ambao wamehengewa uwanja ili zitue ndege zao za kishirikina air lupalu. Watumishi, wanachinga,wakulima wa korosho,kahawa,wananchi walio bomolewa nyumba zao ni ovyo kabisa
 
Kwahiyo umejisahaulisha kuwa HAPA KAZI TUU, naongezea MAJUNGU BAADAE.

Hii ndio slogan yetu na kuhakikisha hili ni simple nenda iliyokuwa inaitwa ubungo Mataa kwasasa pamekuwa na interchange ya kimataifa, pia nenda TAZARA ukaone.

Kwakweli Watanzania tutamzawadia JPM kura za kishindo kwa kazi nzuri aliyoifanya.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Tatizo ana u Mobutu seseko. Jamaa ni mshamba na mbabe.
 
Naona Robert anakuchanganya sana, bila kumtaja hupati usingizi

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu tangible kama mauwaji ya kibiti, Ben saanane na Azory Gwanda
 
28october ndo atajua jpm nani 30october kesi alizofunguliwa lisu zitaanza zitachukua miaka 5 baada ya hapo atanyooka tu huu ndo wakati wake mwacheni aropoke
 
Huelewi maana "hapa kazi tu " huyaoni yaliyotendeka? Wewe una uzalendo kweli? Huoni Tz mpya? Kama huoni tupishe tusonge mbele na JPM mwenye maono.
 
Tuendelee kulieshimu Taifa letu pendwa Tanzania,Mpeni mitano tena JPM hatueshimishe......
 

Kweli kabisa. Mwaka 2015 ccm ilikuwa na mgombea binafsi katika ngazi ya urais. Alijinadi kama mgombea binafsi na baada ya kuingia madarakani ccm nayo ikageuka kuwa idara ya serikali badala ya chama chenye serikali. Aidha katika awamu ya 5 nchi hii haikuwa na serikali bali ilikuwa na rais tu! Maamuzi yote ya nchi yalifanywa na rais; siyo serikali! Nadhani ndiyo maana kampeni ya upinzani imejikita zaidi kumshambulia rais kwa matendo yake binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…