Mwaka 2015 watu waliichoka ccm na sio mgombea yaani mgombea ndie aliyeibeba ccm, 2020 vyote vimechokwa baada ya mgombea kulewa pombe ya madaraka na kuanza kufanya asivyotumwa na wananchi mfano kutumia Kodi zetu kupambana na upinzani badala ya umasikini wetu. Kubomoa utaifa wetu, kuumiza watu, kubambika kesi, kuuwa uchumi, diplomasia, kuzima bunge live ili watu wasijue upigaji, kuzuia vyombo vya habari ili kulinda ufisadi usijulikane, kuwasomesha watz namba ili kuwakomoa, kuwabomolea watu nyumba zao.