Kitakachompata mwanamke endapo akiacha kufanya mapenzi

Kitakachompata mwanamke endapo akiacha kufanya mapenzi

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Katika pita yangu ndani ya mtandao fulani nimekutana Na mambo ambayo ni matokeo ya mwanamke kutoshiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu!

1.kusahau sahau

2.kupoteza hamu ya kufanya mapenzi

3.unaweza kupata ndoto nyevu

4.kuta za uke zinadhoofika

5.unaongezeka uzito Wa mwili

6.kuwa Na msongo Wa mawazo

7.unapunguza uwezekano Wa mimba zisizotarajiwa Na magonjwa ya zinaa

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom