Kitakachompata mwanamke endapo akiacha kufanya mapenzi

Kitakachompata mwanamke endapo akiacha kufanya mapenzi

Katika pita yangu ndani ya mtandao fulani nimekutana Na mambo ambayo ni matokeo ya mwanamke kutoshiriki tendo la ndoa kwa muda mrefu!

1.kusahau sahau

2.kupoteza hamu ya kufanya mapenzi

3.unaweza kupata ndoto nyevu

4.kuta za uke zinadhoofika

5.unaongezeka uzito Wa mwili

6.kuwa Na msongo Wa mawazo

7.unapunguza uwezekano Wa mimba zisizotarajiwa Na magonjwa ya zinaa

DJ sepetu
Daa sasa mbona wanatubania kama ni ivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha kuwaponza jaman huyo muosha rungu anadanganya tu na tafiti yake si kweliiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom