clemence mtei
Senior Member
- Feb 11, 2014
- 101
- 24
Kwani mada inasema ataepuka au kitakachompataAtaepuka si aitumiki[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Soma kichwa cha mada msukuma wwAtajiepusha du muha wewe[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Me zaidi dear si unajua arosto tulizonazo hatuonani kitaani kwetu jana nilipita kwa Steve nimekuta kashusha moja
jaman ngoja nikapitie na mimi, ila tutaftane banah luvMe zaidi dear si unajua arosto tulizonazo hatuonani kitaani kwetu jana nilipita kwa Steve nimekuta kashusha moja
Usijal mamy halaf naona tumosa nae kapotea jaman au sababu wenye story wamegoma [emoji1]
vijiwe vyetu vyote vimekufa ndo maana sasa hivi hatuna budi kupitia enterview za kina muosha runguUsijal mamy halaf naona tumosa nae kapotea jaman au sababu wenye story wamegoma [emoji1]
Ahahahhahavijiwe vyetu vyote vimekufa ndo maana sasa hivi hatuna budi kupitia enterview za kina muosha rungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilibaki kiduchu muosha rungu awe shemeji yenu, ila leo kwenye enterview yake kanikata mainiAhahahhaha
Sikushauri hapooo hapana aiseeIlibaki kiduchu muosha rungu awe shemeji yenu, ila leo kwenye enterview yake kanikata maini
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia nyembamba tatizo wanapotea mpaka tunasahau story