Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mashabiki wa simba muda wote mnaiwazia tu Yanga! Kwani shida ni nini hasa!!1. Nabi ndiyo mechi yake ya mwisho kuifundisha Yanga kesho.
2. Yanga haina uwezo wa kuifunga Tunisia bao 2 - 0, au 3 - 0, wakishinda sana sana bao 1 au 2 - 1.
3. Wachezaji wa Yanga watalaumiwa sana, sana, sana.
4. Ukweli ni mchungu sana, Yanga haiwezi kuiondosha Club Africain, tusipeane matumaini ya kijinga.
5. Tusubiri mambo yetu yale ya kupeana penati katikati ya uwanja basi.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Hata kazini leo nimeshangaa sana,washkaji muda wote ni habari za yanga, yani hii game mikia wameitolea macho kwelikweli.Mashabiki wa simba muda wote mnaiwazia tu Yanga! Kwani shida ni nini hasa!!
Tatizo mmesusia timu yenu. Hamjiamini tena hata slogan mnaogopa kuleta. So kama nyie mmesusa sie twalaMashabiki wa simba muda wote mnaiwazia tu Yanga! Kwani shida ni nini hasa!!
Huwa tunafurahi mnapopasuliwa na hakuna wa kutuzuia kufurahi.Mashabiki wa simba muda wote mnaiwazia tu Yanga! Kwani shida ni nini hasa!!
Wakati mashabiki wenu wanaenda airport kupokea wageni mlikaa kimyaa sasa nyie utani wa kawaida tu mna panic mashabiki wa simba hawana hela za mchezo kupokea wageni airport mshukuru kwa hlo.Hata kazini leo nimeshangaa sana,washkaji muda wote ni habari za yanga, yani hii game mikia wameitolea macho kwelikweli.
Timu yao ni mbovu na haina mvuto ndo maana hata sasa kuna nyuzi zaidi ya 4 na zote zinaihusu Yanga .Mashabiki wa simba muda wote mnaiwazia tu Yanga! Kwani shida ni nini hasa!!
Nilitaka kushanga bila kukuona unamjibu huyu kolo sas asubiri aone mpira mzuri na wa kuvutiaMashabiki wa simba muda wote mnaiwazia tu Yanga! Kwani shida ni nini hasa!!
1. Nabi ndiyo mechi yake ya mwisho kuifundisha Yanga kesho.
2. Yanga haina uwezo wa kuifunga Tunisia bao 2 - 0, au 3 - 0, wakishinda sana sana bao 1 au 2 - 1.
3. Wachezaji wa Yanga watalaumiwa sana, sana, sana.
4. Ukweli ni mchungu sana, Yanga haiwezi kuiondosha Club Africain, tusipeane matumaini ya kijinga.
5. Tusubiri mambo yetu yale ya kupeana penati katikati ya uwanja basi.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Tunamchukua sisi Simba1. Nabi ndiyo mechi yake ya mwisho kuifundisha Yanga kesho.
2. Yanga haina uwezo wa kuifunga Tunisia bao 2 - 0, au 3 - 0, wakishinda sana sana bao 1 au 2 - 1.
3. Wachezaji wa Yanga watalaumiwa sana, sana, sana.
4. Ukweli ni mchungu sana, Yanga haiwezi kuiondosha Club Africain, tusipeane matumaini ya kijinga.
5. Tusubiri mambo yetu yale ya kupeana penati katikati ya uwanja basi.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Hata aibu huoni since 1998. Mabwege kwel nyieNabi bado yupo sana kuwakanda, Jiandaeni kisaikolojia.
Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Mnapoteza muda mwingi kuijadili Yanga, kuliko hata timu yenu!Wakati mashabiki wenu wanaenda airport kupokea wageni mlikaa kimyaa sasa nyie utani wa kawaida tu mna panic mashabiki wa simba hawana hela za mchezo kupokea wageni airport mshukuru kwa hlo.