Kitakachotokea Yanga vs Club Africain

Kitakachotokea Yanga vs Club Africain

1. Nabi ndiyo mechi yake ya mwisho kuifundisha Yanga kesho.

2. Yanga haina uwezo wa kuifunga Tunisia bao 2 - 0, au 3 - 0, wakishinda sana sana bao 1 au 2 - 1.

3. Wachezaji wa Yanga watalaumiwa sana, sana, sana.

4. Ukweli ni mchungu sana, Yanga haiwezi kuiondosha Club Africain, tusipeane matumaini ya kijinga.

5. Tusubiri mambo yetu yale ya kupeana penati katikati ya uwanja basi.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
ila simba anaweza pita kule championship,?ukijibu ndio, wewe mkia
 
Nabi bado yupo sana kuwakanda, Jiandaeni kisaikolojia.
Huyo Nabi hakuwepo kipindi Simba wanabeba makombe mfululizo? Ukiulizwa achievement za Nabi utaishia kusema ana unbeaten kwenye ligi siyo?
 
Nilitaka kushanga bila kukuona unamjibu huyu kolo sas asubiri aone mpira mzuri na wa kuvutia

Alokwambia kwenye mashindano unahitaji mpira wa kuvutia nani???acha upumbavu wa maisha kumbuka ni mechi mbili tu home and away ..matokeo ndo kitu kina mata endeleeni na mpira wa mipasi miiiiiingii utadhani mnacheza ligi.
 
Nyinyi ndiyo maana mnaitwa mbumbumbu! Mnapoteza muda mwingi kuijadili Yanga, kuliko hata timu yenu!

Imefikia wakati wenye timu yetu, tunawashangaa! Halafu cha kushangaza itokee timu yenu imefungwa, siyo kelele hizo, na matusi kwa wachezaji, benchi la ufundi na baadhi ya viongozi!

Ikishinda, mnasahau muda huo huo, na kuhamia tena kuijadili Yanga!! Watu wa ajabu kweli kweli.
Sisi tukishuhudia Yanga anamanuliwa tunafurahi sana.
 
1. Nabi ndiyo mechi yake ya mwisho kuifundisha Yanga kesho.

2. Yanga haina uwezo wa kuifunga Tunisia bao 2 - 0, au 3 - 0, wakishinda sana sana bao 1 au 2 - 1.

3. Wachezaji wa Yanga watalaumiwa sana, sana, sana.

4. Ukweli ni mchungu sana, Yanga haiwezi kuiondosha Club Africain, tusipeane matumaini ya kijinga.

5. Tusubiri mambo yetu yale ya kupeana penati katikati ya uwanja basi.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app

Kilichoipata Kipanga Fc ndicho kitakachoipata Yanga watakapenda Tunisia!
 
kama unataka kufurahisha barza basi elewa kesho Mungu akipenda na kuamka salama basi utasikia Mayele katupia mabao 2, Aziz katupia Moja na Fei naye kaweka 1, sasa hizo hesabu utakuja nazo wewe kesho...

Hizo ndoto utakuwa unaota ukiwa chooni wewe! Utopolo ana ubavu huo? Hana tofauti na timu ya Kipanga Fc.
 
Yanga watafanya kosa kubwa sana kumfukuza kocha kwa wakati huu. Sababu kuu ni kwamba licha ya kocha nabi kuwa na uwezo mdogo kwenye mechi za kimataifa, soka la ndani analipatia. Hata akifukuzwa kwa Sasa Hamna tena mechi za kimataifa mpk mwisho wa msimu. Chakufanya n kumlia timing tu aendelee n mechi za ligi na akafanikiwa kuchukua ubingwa basi pale ndio wanamtoa kupisha kocha mwingine ajaribu mechi za kimataifa
 
1. Nabi ndiyo mechi yake ya mwisho kuifundisha Yanga kesho.
2. Yanga haina uwezo wa kuifunga Tunisia bao 2 - 0, au 3 - 0, wakishinda sana sana bao 1 au 2 - 1.
3. Wachezaji wa Yanga watalaumiwa sana, sana, sana.
4. Ukweli ni mchungu sana, Yanga haiwezi kuiondosha Club Africain, tusipeane matumaini ya kijinga.
5. Tusubiri mambo yetu yale ya kupeana penati katikati ya uwanja basi.

Mkuu, tunakukumbusha kuwa kuna uzi uliuanzisha na uliongea hivi:

Mimi ni Simba lakini naiona Yanga imejipanga sana kufanya vizuri msimu ujao. Sababu naziona kama ifuatavyo.
1. Eng Hersi ana mikakati mikubwa ya kuifanya yanga itambe kimataifa
2. Kuna ujanja mkubwa umefanyika wa kumpeleka Morrison yanga,
3. Yanga ina watu wa mipango kuliko Simba
4. Wazee wa Simba wanalalamika hawathaminiwi, wale yanga wanashirikishwa mpaka kwenye kutafuta ushindi nje ya uwanja.
5. Wenzetu Yanga wana uchungu, wanashirikiana na kupeana mikakati,
6. Kuna usaliti sana Simba kuliko Yanga
7. Mwenyekiti wetu sio mtu wa mpira
 
Back
Top Bottom