Kitakachotokea Yanga vs Club Africain

ila simba anaweza pita kule championship,?ukijibu ndio, wewe mkia
 
Nabi bado yupo sana kuwakanda, Jiandaeni kisaikolojia.
Huyo Nabi hakuwepo kipindi Simba wanabeba makombe mfululizo? Ukiulizwa achievement za Nabi utaishia kusema ana unbeaten kwenye ligi siyo?
 
Nilitaka kushanga bila kukuona unamjibu huyu kolo sas asubiri aone mpira mzuri na wa kuvutia

Alokwambia kwenye mashindano unahitaji mpira wa kuvutia nani???acha upumbavu wa maisha kumbuka ni mechi mbili tu home and away ..matokeo ndo kitu kina mata endeleeni na mpira wa mipasi miiiiiingii utadhani mnacheza ligi.
 
Sisi tukishuhudia Yanga anamanuliwa tunafurahi sana.
 

Kilichoipata Kipanga Fc ndicho kitakachoipata Yanga watakapenda Tunisia!
 
kama unataka kufurahisha barza basi elewa kesho Mungu akipenda na kuamka salama basi utasikia Mayele katupia mabao 2, Aziz katupia Moja na Fei naye kaweka 1, sasa hizo hesabu utakuja nazo wewe kesho...

Hizo ndoto utakuwa unaota ukiwa chooni wewe! Utopolo ana ubavu huo? Hana tofauti na timu ya Kipanga Fc.
 
Yanga watafanya kosa kubwa sana kumfukuza kocha kwa wakati huu. Sababu kuu ni kwamba licha ya kocha nabi kuwa na uwezo mdogo kwenye mechi za kimataifa, soka la ndani analipatia. Hata akifukuzwa kwa Sasa Hamna tena mechi za kimataifa mpk mwisho wa msimu. Chakufanya n kumlia timing tu aendelee n mechi za ligi na akafanikiwa kuchukua ubingwa basi pale ndio wanamtoa kupisha kocha mwingine ajaribu mechi za kimataifa
 

Mkuu, tunakukumbusha kuwa kuna uzi uliuanzisha na uliongea hivi:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…