Kitakachowaondoa akina Halima Mdee ni "jinai" ya wao kuingizwa Bungeni siyo suala la Uanachama wao

Kitakachowaondoa akina Halima Mdee ni "jinai" ya wao kuingizwa Bungeni siyo suala la Uanachama wao

Kina Mdee hawawezi kughushi barua!

Hilo suala lilifuata taratibu zote na kina Mbowe!

Kinachotokea ni wafuasi kindaki ndaki wa chadema kuzugwa zugwa tu basi
Unaumwa wewe, wewe na wenzio mna akili za kijinga sana, soma hii barua kesha mwambie huyo Job ajibu kwanza hii jinai

IMG_20210507_113627.jpg

IMG_20210507_113622.jpg

IMG_20210507_113616.jpg
 
Kwa hiyo unataka kusema Nusrat akiwa jela na kutolewa usiku lilifuata utaratibu wa Mbowe mwenyewe mpaka na kupeleka barua usiku wa manane NEC ili kesho yake spika amuapishe?
Kuyawazua hayo lazima ujue kwamba hili suala Mbowe, Mnyika na Nduagi wanajuaana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Una hasira sana sijui ni stres au umasikini,!
Sina stress na sio maskini ila nakuonea huruma sana unakubali kunajisiwa na kujitoa ufahamu kisa malipo ya buku saba
 
Kuyawazua hayo lazima ujue kwamba hili suala Mbowe, Mnyika na Nduagi wanajuaana
Mkuu ngoja niishie hapa, kuna mengi nyuma ya Pazia. Na vituko vingi mno.. Unajua huko tuendako hili suala litamuweka Ndugai pabaya sana.. Sio leo wala kesho.. Tuombe uzima
 
Kina Mdee hawawezi kughushi barua!

Hilo suala lilifuata taratibu zote na kina Mbowe!

Kinachotokea ni wafuasi kindaki ndaki wa chadema kuzugwa zugwa tu basi
Mbowe alishasema form zinazotakiwa kujazwa na wabunge viti maalum zipo ofisini, hizi kelele zako rudisha lumumba.
 
Hahahahahahahaha........
Kweli wazee wa Dar wabalikiwe.

Mimi ninachokiona hapo,hao akina mdee wameshanunuliwa hivyo Mnyika na mwenyekiti wake wajipange kisaikoloji.

Lasivyo usikute ndio wameshaihama chadema hivyo.

Hao wamama wangekua wazalendo na chama wangeshajitoa kitaambo huko bungeni.

Na nakumbuka walionywa kabla hawajaenda ,sasa ikawaje wakaenda,walipata wapi ujasili wa kukaa bungeni kinyume na sheria!!

Hapo kama waliamini mdee ndio mama shujaa chadema waanze kuzoe kua anaweza asiwe wa kwao tena chadema.
Samia alisema bado kuna wengine watafuatia nyayo za Nyalandu, naamini watakuwa wao.
 
Uwepo wa Halima Mdee na wenzake bungeni msingi wake ni barua ambayo Chadema wameikana kuiandika wao yenye majina ya wanawake 19 waliopelekwa bungeni.

Mchawi wa CHADEMA ni Tume ya uchaguzi wala siyo ofisi ya Spika wa bunge mh Job Ndugai.

Kama Mdee na wenzake walighushiwa barua ya kuwaingiza Bungeni basi akina mama hawa ni hatari kwa usalama wa nchi yetu na haya mambo baba wa taifa aliyakemea sana.

Suala la mihtasari kwenye kosa lililo wazi ni mambo ya kijima.

Mungu Ibariki Tanzania

Mungu wabariki wazee wa Dar es salaam!
You are stupid eti wameikana
 
Yule mzee kaijage ndo wakufunga jela
Walipata wapi barua za kuchaguliea akina mdee
Mzee na kipara chake amaonekana mstarabu Kumbe hamna kitu.
 
Nchi hii ilivyokuwa na mambo ya ajabu unaweza kuona aliyeghushi hiyo barua ni Musiba na Makonda
 
Kina Mdee hawawezi kughushi barua!

Hilo suala lilifuata taratibu zote na kina Mbowe!

Kinachotokea ni wafuasi kindaki ndaki wa chadema kuzugwa zugwa tu basi
Wakina Halima Tume Bunge Chini ya HAYATI wametengeneza huo Mpango yule Mwanachama aliyekuwa Mahabusu na kutolewa usiku na kwenda kuapishwa Nani katengeneza hayo Mazingira?
 
Uwepo wa Halima Mdee na wenzake bungeni msingi wake ni barua ambayo Chadema wameikana kuiandika wao yenye majina ya wanawake 19 waliopelekwa bungeni.

Mchawi wa CHADEMA ni Tume ya uchaguzi wala siyo ofisi ya Spika wa bunge mh Job Ndugai.

Kama Mdee na wenzake walighushiwa barua ya kuwaingiza Bungeni basi akina mama hawa ni hatari kwa usalama wa nchi yetu na haya mambo baba wa taifa aliyakemea sana.

Suala la mihtasari kwenye kosa lililo wazi ni mambo ya kijima.

Mungu Ibariki Tanzania

Mungu wabariki wazee wa Dar es salaam!
Anayetakuwa kubeba lawama zote,ni Mwendazake,picha lite alilifanya yeye ili kuzihadaa jumuia za kimataifa,

Baada ya kukatika nguzo Ndugai amebaki peke yake hajui pa kuanzia.
 
Kwa hiyo unataka kusema Nusrat akiwa jela na kutolewa usiku lilifuata utaratibu wa Mbowe mwenyewe mpaka na kupeleka barua usiku wa manane NEC ili kesho yake spika amuapishe?
Nani alisaini fomu zake namba 8d zinazotakiwa kujazwa na Katibu Mkuu wa chama wakati yeye alikuwa gerezani
 
Back
Top Bottom