J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 May 7, 2021 Thread starter #41 mdudu said: Anayetakuwa kubeba lawama zote,ni Mwendazake,picha lite alilifanya yeye ili kuzihadaa jumuia za kimataifa, Baada ya kukatika nguzo Ndugai amebaki peke yake hajui pa kuanzia. Click to expand... Mwendazake mnamsingizia tu. Cecil Mwambe na Lijualikali ilikuwaje kwani?
mdudu said: Anayetakuwa kubeba lawama zote,ni Mwendazake,picha lite alilifanya yeye ili kuzihadaa jumuia za kimataifa, Baada ya kukatika nguzo Ndugai amebaki peke yake hajui pa kuanzia. Click to expand... Mwendazake mnamsingizia tu. Cecil Mwambe na Lijualikali ilikuwaje kwani?
Ngarob JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 661 Reaction score 2,204 May 7, 2021 #42 Ndio maana tunasema kwa sasa spika anaona yuko salama, mbele ya safari kuna kivumbi.. Hasa NEC malang0 said: Nani alisaini fomu zake namba 8d zinazotakiwa kujazwa na Katibu Mkuu wa chama wakati yeye alikuwa gerezani Click to expand...
Ndio maana tunasema kwa sasa spika anaona yuko salama, mbele ya safari kuna kivumbi.. Hasa NEC malang0 said: Nani alisaini fomu zake namba 8d zinazotakiwa kujazwa na Katibu Mkuu wa chama wakati yeye alikuwa gerezani Click to expand...