NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hayawi hayawi mwisho yamekua kuna baadhi ya watu wanaamini kwa asilimia mia kuwa Azam fc atashinda mbele ya Simba sc nawaambieni futeni wazo hilo kwani azam atakufa kifo cha mende kama hatodhibiti haya
(1) Janja janja ya Marefa hapa wachezaji wa azam wanapaswa kuwa makini sana na faulo zao wanazocheza kwani huu mchezo marefa wana maelekezo maalum kosa siyo kosa kadi au faulo mpaka penati, Simba sc wanaitaka sana hii mechi zaidi ya azam kwa hiyo kuna mazingira machafu yaeandaliwa kwa marefa.
(2) Mchezaji mkongo anayecheza dimba la kati na kuna muda hucheza beki, huyu mcezaji alikua kule upande wa pili inasemekana aliondolewa kule na mwenzake baada ya kuihujumu timu yake hiyo na kusunda kibunda akishirikiana na mwenzake aliyekua akivaa namba 21 mgongoni , huo upande wa pili walipigwa goli mbili na watani wao wa jadi, hawa waongo walisunda mavumba kisha wakacheza chini ya kiwango na ndiyo maana hasira za viongozi waliawatoa hata neno tank you hakuna
(3) Viongozi Mamluki wa Azam FC kama alivyosema prince dube kuwa kuna baadhi ya viongozi wa azam fc wakiona simba sc imefungwa na azam hukasirika sana na kununa, viongozi wa azam wazalendo wanapaswa kudhibiti simu za viongozi , kuna baadhi ya viongozi wamepambana sana kuona azam fc inafungwa na simba sc ili wainusuru simba yao kuishia nafasi ya tatu.
endapo azam watalidhibiti hili hakika watachukua point tatu muhimu mbele ya simba sc