Kitambi chako ni kipi kati ya hivi?

upendodaima

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2013
Posts
4,089
Reaction score
4,535
1. Kitambi Mvurugo -- Hiki kitambi kimekaa kama O. Kinapatikana kwa kula sana kitimoto.

2. Kitambi Mchuchumio -- Hiki kitambi kimekaa kama herufi D. Kinatokana na kula sana michemsho na bia za ofa.

3. Kitambi Mbonyeo -- Akivua shati kitovu hakionekani. Hiki wanacho wala rushwa. Ila
akisimamishwa kazi kinaisha.

4. Kitambi Mtepeto -- Ni kitambi cha wastani ambacho ukivaa nguo pana hakionekani. kinasababishwa na kula mno
viporo.

5. Kitambi Mfumanio -- Hiki mtu anakuwa hana pesa ila kitambi ni kutokana na minyoo na utapiamlo wa ukubwani.

6. Kitambi Mtunguo -- Hiki wanacho sana wadada. Kina umbo la yai. Hiki kwa 'diet' hakitoki labda Kwa Maombi tu.
 

dah umeniua sana ndugu yangu hasa hiyo ya 5
 
Hyo ya mwisho ni balaa..,
Umetumia utafiti gan paka kusema hvo au umekurupuka tu kutoka ucngzni
 
asa haya ndo mambo yenyewe bhanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......................................
 
Hahahaaaaa Nitakuja changu ukipe jina kwakuwa kina matoleo kwenye mbavu yaani kimetokedhea mbavuni
 
Dah? Iyo kari mkbwa na izo sampul za vitambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…