Vanclassic
Member
- Sep 9, 2024
- 91
- 203
Sasa msosi uwe ni vitu gani? Zingatia amesema maisha yake ni ya kuunga unga - sio mambo safiPole Sana Ila waweza kufikiria kupunguza kula wanga Sana Kama ugali au ikiwezekana temana nao ugali
Acha pombe za bure.wakuu kama heading inavoeleza apo.
naon kitambi kinakuja kwa kasi ya 5g tangu february adi saiv naon kbsa tumbo linakua mno
sio kwamba na maisha mazur hapana, maisha yang ya kuunga unga tu ila na chakula chang kikuu ni ugali, wali na maharage niki change sana labda samaki
kwanini sasa nataka kupata kitambi wakuu
Kama kile cha Chid Benz? Au
Umepata kazi ama umeongezewa mshahara 500 K take homewakuu kama heading inavoeleza apo.
naon kitambi kinakuja kwa kasi ya 5g tangu february adi saiv naon kbsa tumbo linakua mno
sio kwamba na maisha mazur hapana, maisha yang ya kuunga unga tu ila na chakula chang kikuu ni ugali, wali na maharage niki change sana labda samaki
kwanini sasa nataka kupata kitambi wakuu
Kama kile cha Chid Benz? akijafikia level ile😂😂
wala sina kaz za kuajiriwa mi napiga kaz zang za kitaa za ufundUmepata kazi ama umeongezewa mshahara 500 K take home
Sio genetic ? Vp vinywaji hujasema, bia soda !! Michemsho je !!wakuu kama heading inavoeleza apo.
naon kitambi kinakuja kwa kasi ya 5g tangu february adi saiv naon kbsa tumbo linakua mno
sio kwamba na maisha mazur hapana, maisha yang ya kuunga unga tu ila na chakula chang kikuu ni ugali, wali na maharage niki change sana labda samaki
kwanini sasa nataka kupata kitambi wakuu
niwe nakula ninPunguza chakula cha wanga
situmii pombe kbsaaSio genetic ? Vp vinywaji hujasema, bia soda !!