Kitambi kinanifanya niione dunia chungu

Kitambi kinanifanya niione dunia chungu

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
955
Asubuhi nashindwa kuamka kwa ajili ya mazoezi, nikiamka nashindwa kuvaa viatu naishia kuvaa open shoes. Nikiamka nasikia njaa inabidi nilijaze tumbo, nikilijaza nashindwa kutembea. Bodaboda hawanikimbilii nikifika kazini. Nasinzia sana

Weekend siwezi kuinjoy kucheza muziki nabakia observer, nikienda kwa wife napiga kimoja hoi nalala nakoroma. Kufanya mazoezi ni mvivu, kufanya diet nako ni kuumia na kuidhulumu nafsi.

Ndugu zangu viepe nyama Choma na bia ni noma, najilaumu na natamani afya za watu hasa wembamba wenye kula sana wenye matumbo ya kubana.

Uzito mkubwa ni noma, kula kwa step. Sina mvuto hata wa kupiga selfie maana najaa peke yangu.
 
Asubuhi na shindwa kuamka kwa ajili ya mazoezi,nikiamka nashindwa kuvaa viatu naishia kuvaa open shoes,nikiamka nasikia njaa inabidi nilijaze tumbo,nikilijaza nashindws kutembea bodaboda hawanikimbilii,nikifika kazini . sana,nikiamka njaa nahitaji kulijaza tumbo.wiki end siwezi kuinjoy kucheza muziki nabakia observer,nikienda kwa wife napiga kimoja hoi nalala nakoloma.kufanya mazoezi ni mvivu.kufanya diet nako ni kuumia na kuidhurumu nafsi.ndugu zangu viepe nyama Choma na bia ni noma,najilaumu na natamani afya za watu.hasa wembamba wenye kula sana wenye matumbo ya kubana.UZITO MKUBWA NI NOMA KULA KWA STEP.SINA MVUTO HATA KUPIGA SELF NAJAA PEKE YANGU
Haahaahahah wewe huwezi saidiwa cha kwanza inaonekana unaupenda huo ubonge wako
 
[QUOTE="mdundo ngoma sana, post: 17809410, member: 346990" ] Sina mvuto hata wa kupiga selfie maana najaa peke yangu. [/QUOTE]
Mkuu, peleka pich zako za Selfie dukani.. Utatoka bomba...
 
Gym zipo..... nenda mwez 1 tu hamna kitambi tena

Bodaboda watakukimbilia
Utapiga round Mia kwa mkeo
Kusinzia utaacha
 
Mkuu Fanya haya lazima utapungua tu kunywa maji Lita nusu saa kabla ya Kula hakikisha kwa siku unakunywa maji Lita zaidi ya tatu tembea kila siku nusu kwa miguu tumia sahani ndogo ya kulia itakufanya kuona chakula kingi badilisha aina ya chakula penda mboga za majani sasa sana kwenye kula mboga za majani ziwe nyingi kuliko wanga Na ukiweza kunywa maji mengi kama Lita nne kwa siku Na kutembea zaidi ya nusu SAA kwa miguu au kufanya mazoezi kinaisha taratibu
 
Ushauri mzuri sana
 
Samahani naomba nikuulize, hivi ni kwanini watu wanene maranyingi hua wanashauriwa kunya maji mengi. Kwanini MAJI na sio kitu kingine. MAJI yanamchango gani ktk kupunguza mwili?
 
Maji yana mchango mkubwa Wa kupunguza mafuta mwilini Na kuujenga mwili Na kutoa sumu mwilini
 
Mkuu kunjwa maji sana ila changanya na Apple Cider vinegar.
 
Maji yana mchango mkubwa Wa kupunguza mafuta mwilini Na kuujenga mwili Na kutoa sumu mwilini
Kaka nafikili ingekua poa zaidi kama unge dadavua zaidi kwanini MAJI yanapunguza mafuta mwilini
 
Mm naona dawa ya kitambi ni kupiga tizi la maana tu na maji kwa wingi
 
Kwa mimi ninavyoelewa asilimia kubwa ya mwili wa binadamu unatengenezwa na maji. Hivyo huyu kibonge anapoambiwa anywe maji lita moja inamsaidia kujiona ameshiba na kumfanya ale chakula kiasi. Maana kumbuka jamaa amekuambia anapenda kula hatari. Kwa hiyo akinywa maji mengi atapunguza kiwango cha chakula anachokula, maji yatasafisha mwili na kufanya figo zifanye kazi kwa ufanisi mkubwa. Akifanya na mazoezi yatakayomtoa jasho huyu kibonge atapungua. Kitu kingine jamani tusizarau kufanya mapenzi mara nyingi kunatufanya mtu hata akiwa kibonge apungue. Hivyo changanya mbinu zote usiwe na visingizio kwa mkeo.
 
Mkuu Fanya haya lazima utapungua tu kunywa maji Lita nusu saa kabla ya Kula hakikisha kwa siku unakunywa maji Lita zaidi ya tatu tembea kila siku nusu kwa miguu tumia sahani ndogo ya kulia itakufanya kuona chakula kingi badilisha aina ya chakula penda mboga za majani sasa sana kwenye kula mboga za majani ziwe nyingi kuliko wanga Na ukiweza kunywa maji mengi kama Lita nne kwa siku Na kutembea zaidi ya nusu SAA kwa miguu au kufanya mazoezi kinaisha taratibu
Thanx kibo 255
 
Asubuhi nashindwa kuamka kwa ajili ya mazoezi, nikiamka nashindwa kuvaa viatu naishia kuvaa open shoes. Nikiamka nasikia njaa inabidi nilijaze tumbo, nikilijaza nashindwa kutembea. Bodaboda hawanikimbilii nikifika kazini. Nasinzia sana

Weekend siwezi kuinjoy kucheza muziki nabakia observer, nikienda kwa wife napiga kimoja hoi nalala nakoroma. Kufanya mazoezi ni mvivu, kufanya diet nako ni kuumia na kuidhulumu nafsi.

Ndugu zangu viepe nyama Choma na bia ni noma, najilaumu na natamani afya za watu hasa wembamba wenye kula sana wenye matumbo ya kubana.

Uzito mkubwa ni noma, kula kwa step. Sina mvuto hata wa kupiga selfie maana najaa peke yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..bado we kula tuu
 
Mm naona dawa ya kitambi ni kupiga tizi la maana tu na maji kwa wingi
Diet

Kuna jamaa yng nilimsimamia siku 30. Siku 15 za mwanzo alikuwa anakula sless usiku tu tena kawaida ,mchana maji tu ,wali chapati na vyakula vyote alikuwa hagusi huwezi kuamini saizi anacheza kwenye kilo 65,66,67,68 wkt alikuwa 85 huko

Vyakula vyenye mafuta acha kula japo SKU 10 kunywa maji mengi lzm upungue,.kama vyakula vyenye mafuta unakula Mara 3 kwa cku ase hyo tizi itakusaidia baada ya miezi kadhaa
 
Back
Top Bottom