mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Haahaahahah wewe huwezi saidiwa cha kwanza inaonekana unaupenda huo ubonge wakoAsubuhi na shindwa kuamka kwa ajili ya mazoezi,nikiamka nashindwa kuvaa viatu naishia kuvaa open shoes,nikiamka nasikia njaa inabidi nilijaze tumbo,nikilijaza nashindws kutembea bodaboda hawanikimbilii,nikifika kazini . sana,nikiamka njaa nahitaji kulijaza tumbo.wiki end siwezi kuinjoy kucheza muziki nabakia observer,nikienda kwa wife napiga kimoja hoi nalala nakoloma.kufanya mazoezi ni mvivu.kufanya diet nako ni kuumia na kuidhurumu nafsi.ndugu zangu viepe nyama Choma na bia ni noma,najilaumu na natamani afya za watu.hasa wembamba wenye kula sana wenye matumbo ya kubana.UZITO MKUBWA NI NOMA KULA KWA STEP.SINA MVUTO HATA KUPIGA SELF NAJAA PEKE YANGU
Ushauri mzuri sanaMkuu Fanya haya lazima utapungua tu kunywa maji Lita nusu saa kabla ya Kula hakikisha kwa siku unakunywa maji Lita zaidi ya tatu tembea kila siku nusu kwa miguu tumia sahani ndogo ya kulia itakufanya kuona chakula kingi badilisha aina ya chakula penda mboga za majani sasa sana kwenye kula mboga za majani ziwe nyingi kuliko wanga Na ukiweza kunywa maji mengi kama Lita nne kwa siku Na kutembea zaidi ya nusu SAA kwa miguu au kufanya mazoezi kinaisha taratibu
Samahani naomba nikuulize, hivi ni kwanini watu wanene maranyingi hua wanashauriwa kunya maji mengi. Kwanini MAJI na sio kitu kingine. MAJI yanamchango gani ktk kupunguza mwili?Mkuu Fanya haya lazima utapungua tu kunywa maji Lita nusu saa kabla ya Kula hakikisha kwa siku unakunywa maji Lita zaidi ya tatu tembea kila siku nusu kwa miguu tumia sahani ndogo ya kulia itakufanya kuona chakula kingi badilisha aina ya chakula penda mboga za majani sasa sana kwenye kula mboga za majani ziwe nyingi kuliko wanga Na ukiweza kunywa maji mengi kama Lita nne kwa siku Na kutembea zaidi ya nusu SAA kwa miguu au kufanya mazoezi kinaisha taratibu
Maji yana mchango mkubwa Wa kupunguza mafuta mwilini Na kuujenga mwili Na kutoa sumu mwiliniSamahani naomba nikuulize, hivi ni kwanini watu wanene maranyingi hua wanashauriwa kunya maji mengi. Kwanini MAJI na sio kitu kingine. MAJI yanamchango gani ktk kupunguza mwili?
Kaka nafikili ingekua poa zaidi kama unge dadavua zaidi kwanini MAJI yanapunguza mafuta mwiliniMaji yana mchango mkubwa Wa kupunguza mafuta mwilini Na kuujenga mwili Na kutoa sumu mwilini
Kwa mimi ninavyoelewa asilimia kubwa ya mwili wa binadamu unatengenezwa na maji. Hivyo huyu kibonge anapoambiwa anywe maji lita moja inamsaidia kujiona ameshiba na kumfanya ale chakula kiasi. Maana kumbuka jamaa amekuambia anapenda kula hatari. Kwa hiyo akinywa maji mengi atapunguza kiwango cha chakula anachokula, maji yatasafisha mwili na kufanya figo zifanye kazi kwa ufanisi mkubwa. Akifanya na mazoezi yatakayomtoa jasho huyu kibonge atapungua. Kitu kingine jamani tusizarau kufanya mapenzi mara nyingi kunatufanya mtu hata akiwa kibonge apungue. Hivyo changanya mbinu zote usiwe na visingizio kwa mkeo.Kaka nafikili ingekua poa zaidi kama unge dadavua zaidi kwanini MAJI yanapunguza mafuta mwilini
Thanx kibo 255Mkuu Fanya haya lazima utapungua tu kunywa maji Lita nusu saa kabla ya Kula hakikisha kwa siku unakunywa maji Lita zaidi ya tatu tembea kila siku nusu kwa miguu tumia sahani ndogo ya kulia itakufanya kuona chakula kingi badilisha aina ya chakula penda mboga za majani sasa sana kwenye kula mboga za majani ziwe nyingi kuliko wanga Na ukiweza kunywa maji mengi kama Lita nne kwa siku Na kutembea zaidi ya nusu SAA kwa miguu au kufanya mazoezi kinaisha taratibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..bado we kula tuuAsubuhi nashindwa kuamka kwa ajili ya mazoezi, nikiamka nashindwa kuvaa viatu naishia kuvaa open shoes. Nikiamka nasikia njaa inabidi nilijaze tumbo, nikilijaza nashindwa kutembea. Bodaboda hawanikimbilii nikifika kazini. Nasinzia sana
Weekend siwezi kuinjoy kucheza muziki nabakia observer, nikienda kwa wife napiga kimoja hoi nalala nakoroma. Kufanya mazoezi ni mvivu, kufanya diet nako ni kuumia na kuidhulumu nafsi.
Ndugu zangu viepe nyama Choma na bia ni noma, najilaumu na natamani afya za watu hasa wembamba wenye kula sana wenye matumbo ya kubana.
Uzito mkubwa ni noma, kula kwa step. Sina mvuto hata wa kupiga selfie maana najaa peke yangu.
DietMm naona dawa ya kitambi ni kupiga tizi la maana tu na maji kwa wingi