sandraeli JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 1,431 Reaction score 2,392 Sep 28, 2016 #21 Kibo255 said: Maji yana mchango mkubwa Wa kupunguza mafuta mwilini Na kuujenga mwili Na kutoa sumu mwilini Click to expand... Maji yawe ya uvuguvugu ili kuyeyusha mafuta mwilin
Kibo255 said: Maji yana mchango mkubwa Wa kupunguza mafuta mwilini Na kuujenga mwili Na kutoa sumu mwilini Click to expand... Maji yawe ya uvuguvugu ili kuyeyusha mafuta mwilin
haloo JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 569 Reaction score 217 Sep 28, 2016 #22 kanuga said: Ahahha self unajaaa pekeako ..nomaaaa sanaaaa Click to expand... Kupiga selfie maana yake nini nijuzeni wakuu
kanuga said: Ahahha self unajaaa pekeako ..nomaaaa sanaaaa Click to expand... Kupiga selfie maana yake nini nijuzeni wakuu
kibhopile JF-Expert Member Joined Aug 5, 2010 Posts 1,513 Reaction score 765 Sep 28, 2016 #23 Watu wanene ni vigumu sana kutekwa, hawatoshi kwenye buti.
nra2303 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,975 Reaction score 2,547 Sep 28, 2016 #24 Usile chochote usiku zaidi ya kunywa maji lita moja,mpk kesho yake tena! Na mchana ule kiasi kidogo itakusaidia,fanya ivyo huku ukiangalia uzito unavyopungua km motisha kwako jiwekee target utaweza
Usile chochote usiku zaidi ya kunywa maji lita moja,mpk kesho yake tena! Na mchana ule kiasi kidogo itakusaidia,fanya ivyo huku ukiangalia uzito unavyopungua km motisha kwako jiwekee target utaweza
evonik JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 3,996 Reaction score 5,156 Sep 28, 2016 #26 Wamekushauri vizur, lkn wamesau kitu kimoja uhame huo mkoa njoo huku kijjn maana wanaume wa uko ni shigda
Wamekushauri vizur, lkn wamesau kitu kimoja uhame huo mkoa njoo huku kijjn maana wanaume wa uko ni shigda