Hapa kuna viashiria vya chuki binafsi na wenye vitambi, kitambi kinaachaje harufu ya mavi gari zima?Nyie ndio mkipanda usafiri wa umma mnaacha harufu ya mavi ,gari zima .
Mkeo ndio kinampa raha akiwa amekaa kwa juuUnamilikije fuko la mapupu , unajiamini vipi bila kuwa hata na aibu bwashee?
Nyie ndio mkipanda usafiri wa umma mnaacha harufu ya mavi ,gari zima .
Ebu piga mazoezi ukate hayo mapupu , goigoi wewe.
Wanawake mafuta yanakimbilia kwenye matako na mapaja, wanaume mafuta yanakimbilia tumboniBongo ukiwa mgonjwa (bonge la tambi) unaonekana mzima ukiwa mzima (mwembamba) unaonekana mgonjwa.
Watu wanakupima kwa macho.
Eeee kuna watu wakiona mtumbo mkubwa wanajua una noti wakati unakuta majalala tu.Bongo ukiwa mgonjwa (bonge la tambi) unaonekana mzima ukiwa mzima (mwembamba) unaonekana mgonjwa.
Watu wanakupima kwa macho.
Really??Sasa hivi nina kilo 54
Bwashee acha hizo😅😅Ni KWELI, lakini wewe yanakuhusu nini?
Infact Afya ya mtu ni jukumu lake mwenyewe, sisi ukija Hospital tutaendelea kupiga hela kama kawaida.
Mgonjwa aliyepona, kwetu sisi ni Mteja aliyepotea.
Mkuu, yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.
Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.
Khaaaa!?Sasa,itakuaje?Huku ninapoishi ukiwa na mtumbo/fuko/kitambi unahesabika mwenye siha murua,Una kautajiri Ka hapa na pale na vilevile ni msomi mzuri (hata wa magazeti). Mbona mnatuharibia?Nani aliwaambia kumiliki kitumbo ni ujanja?
Una kuta mtu ana tumbo kubwa eti anatembea nalo kwa madaha kabisa , kisa ana kigari uchwara chake 🤔
Unamilikije fuko la mapupu , unajiamini vipi bila kuwa hata na aibu bwashee?
Nyie ndio mkipanda usafiri wa umma mnaacha harufu ya mavi ,gari zima .
Ebu piga mazoezi ukate hayo mapupu , goigoi wewe.
Nani aliwaambia kumiliki kitumbo ni ujanja?
Una kuta mtu ana tumbo kubwa eti anatembea nalo kwa madaha kabisa , kisa ana kigari uchwara chake 🤔
Unamilikije fuko la mapupu , unajiamini vipi bila kuwa hata na aibu bwashee?
Nyie ndio mkipanda usafiri wa umma mnaacha harufu ya mavi ,gari zima .
Ebu piga mazoezi ukate hayo mapupu , goigoi wewe.
Na Una kakitambi au umekemea?Sasa hivi nina kilo 54