Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
NdioπReally??
Duh siamini, nakuzidi 20kgsππ½ββοΈNdioπ
Kesho tukutane ostabeiii jogingiπDuh siamini, nakuzidi 20kgsππ½ββοΈ
Mkuu, hivi maneno huwa unayatoa wapi??ππKwa utuliivuu,anatoa nasaha za lishe bora na afya maridhawa.
Nitaugua aiseeππ½ββοΈKesho tukutane ostabeiii jogingiπ
Hawa badala kutwa kuvaa vitop na suruali hazifik kiunoni wajistr aibu tunaona sisi
Niwekee kilo moja kavu na ndizi nne afu mwambie muhudumu aniletee kilimanjaro ya barid
Hawa badala kutwa kuvaa vitop na suruali hazifik kiunoni wajistr aibu tunaona sisi
Angalia km huyu mzgo wote nje hata boxa haikai kiunoni ππ
Naona unatusema wenye tuvitambi πMchumba π€
Tumbo mfuko , humo kumejaa mavi bwashee , bora umeze dawa ya kuharisha utoe mapupu urudi kwenye hali yako ya kawaida Pumbavu sana
Picha mkuu ili stori inogeNani aliwaambia kumiliki kitumbo ni ujanja?
Una kuta mtu ana tumbo kubwa eti anatembea nalo kwa madaha kabisa , kisa ana kigari uchwara chake π€
Unamilikije fuko la mapupu , unajiamini vipi bila kuwa hata na aibu bwashee?
Nyie ndio mkipanda usafiri wa umma mnaacha harufu ya mavi ,gari zima .
Ebu piga mazoezi ukate hayo mapupu , goigoi wewe.
Yote yanaitaji dua iwe mbele kwanza kwakua dua ni kwenye kila jamboDua hazitoshi.Tunawategemea wakalime mashambani watuuzie vyakula.
Nimekulia uswazi muda mrefu.Halafu,ni namna ubongo tu unavyoweza kutunga maneno kwa haraka tu.Hamna la ajabu hapo mkuu.Mkuu, hivi maneno huwa unayatoa wapi??ππ