James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Tia neno boss lady [emoji16][emoji870]Hahaa!![emoji1787]
Hahaa 🤣🤣!! Bora kwa mwanamke kwa nyie wanaume ndo balaa tupu!🚶🚶Tia neno boss lady [emoji16][emoji870]
Wanawake wafanye mazoezi and not otherwise, haya mavitambi hovyo kabisa, period!!!View attachment 2060421
Oyee kwa kweli. 💃💃Vitambi oyee
Umepata kitambi lini Shadeeya? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Oyee kwa kweli. [emoji126][emoji126]
Hahahaaa. Lol.Umepata kitambi lini Shadeeya? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
🤸🤸🤸🤸🤸! Wengine tukinenepa navyo vinaongezeka...akina sisi tukizaa wengine automatic vinakuja hata tufunge matumbo vipi sasa tunafanyeje hapo rafiki!!! No way sema kama ulivosema tujitahidi mazoezi!Oyee kwa kweli. 💃💃
Kuna watu ndio udhaifu wao huoMkuu unachosema ni kweli kuna ka x kangu ka kitambo sana juzi nimekutana nako nikahitaji kupasha kiporo baada ya story mbili tatu za kwenye simu tukapanga kesho yake niende kumuona na kupanga jinsi tunaweza kuvunja amri ya sita
Baada ya kufika eneo la tukio kumuona tu hisia zote zikakata nikashindwa kuvumulia nikamuuliza mama vp na hiko kitambi unaenda nacho Wap akabaki anajichekesha tu
Na Date yenyewe nikaighairisha nikijipigisha pigisha simu pale mwisho wa siku sijarudi tena hadi leo
Mkuu na wewe unacho kwani?Vitambi oyee
Acha kabisa rafiki. Ila uzazi bana nao umekuwa changamoto mno kwetu mana likiamuaga kufumuka linafumuka hasa.🤸🤸🤸🤸🤸! Wengine tukinenepa navyo vinaongezeka...akina sisi tukizaa wengine automatic vinakuja hata tufunge matumbo vipi sasa tunafanyeje hapo rafiki!!! No way sema kama ulivosema tujitahidi mazoezi!
Na vitambi vyetu??? WoiiTunatiana genye tu
Mimi mwenyewe na penda dem mwenye kitambi maana huwa navichezea sana kabla ya kumla papuchiNa hata havituumi wala kuwasha embu watuache na vitambi vyetu
kukishika shika
Mimi mwenyewe na penda dem mwenye kitambi maana huwa navichezea sana kabla ya kumla papuchi