Kitambi kwa mwanamke kinakata stimu sana

Wanawake wafanye mazoezi and not otherwise, haya mavitambi hovyo kabisa, period!!!View attachment 2060421

Mkuu unachosema ni kweli kuna ka x kangu ka kitambo sana juzi nimekutana nako nikahitaji kupasha kiporo baada ya story mbili tatu za kwenye simu tukapanga kesho yake niende kumuona na kupanga jinsi tunaweza kuvunja amri ya sita

Baada ya kufika eneo la tukio kumuona tu hisia zote zikakata nikashindwa kuvumulia nikamuuliza mama vp na hiko kitambi unaenda nacho Wap akabaki anajichekesha tu
Na Date yenyewe nikaighairisha nikijipigisha pigisha simu pale mwisho wa siku sijarudi tena hadi leo
 
Kwani kitambi kinazuia dushe kupenya...az long az hakina kikwazo kwa dushe..wewe pelekea moto.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu unachosema ni kweli kuna ka x kangu ka kitambo sana juzi nimekutana nako nikahitaji kupasha kiporo baada ya story mbili tatu za kwenye simu tukapanga kesho yake niende kumuona na kupanga jinsi tunaweza kuvunja amri ya sita

Baada ya kufika eneo la tukio kumuona tu hisia zote zikakata nikashindwa kuvumulia nikamuuliza mama vp na hiko kitambi unaenda nacho Wap akabaki anajichekesha tu
Na Date yenyewe nikaighairisha nikijipigisha pigisha simu pale mwisho wa siku sijarudi tena hadi leo
Kuna watu ndio udhaifu wao huo

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
🤸🤸🤸🤸🤸! Wengine tukinenepa navyo vinaongezeka...akina sisi tukizaa wengine automatic vinakuja hata tufunge matumbo vipi sasa tunafanyeje hapo rafiki!!! No way sema kama ulivosema tujitahidi mazoezi!
Acha kabisa rafiki. Ila uzazi bana nao umekuwa changamoto mno kwetu mana likiamuaga kufumuka linafumuka hasa.

Sema nini mazoezi ndo dawa rafiki.
 
Back
Top Bottom