Kitambi kwa mwanamke kinakata stimu sana

Na sisi ndiyo tupo[emoji847][emoji847]
 
Kwa wale tusiovipenda tufanye mazoezi kwa kweli japo inakuwaga mtihani kuondoa hiyo kitu ila tujitahidi na pia tujipangilie upande wa msosi mana hapo napo panachangamoto kidogo.
Mazoezi na nature ya chakula . Mazoezi pekee yake sio solutions.epukani ulaji ovyo wa vyakula vya mafuta na wanga Kwa vingi Ila kuleni matunda, mbogamboga, proteins. Excess energy kutoka kwenye wanga ikishachukuliwa na mwili iliyobaki inaenda kuwa stored mwilini kama Fats . Ndio matokeo yake Ila protein ikishatimika excess protein yote inatolewa mwilini inform of urea
 
Wanakata stimu kweli....unamkuta mdada ni msupuu kweliii Ila tumbo sasaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…