Kitambi kwa mwanamke noma sana!

Punguza kula...kila kitu unakula huchagui,tumbo linakuwa kama gari ya taka haliachi kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Labda unisaidie kwa kunitajia vingine mkuu. Maana Ulivyovitaja huwa naona tu bongo movie, kwetu kula hivyo vitu ni anasa. Labda siku za sikukuu kubwa kubwa
Punguza misosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…