Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
- Thread starter
- #41
Hatari sana!Punguza kula kitimoto ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana!Punguza kula kitimoto ww
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Punguza kula...kila kitu unakula huchagui,tumbo linakuwa kama gari ya taka haliachi kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inaelekea una experience ya kupiga deki
Safi sana mkuu.Tumekupata mkuu,tutazingatia ushauri
Hata kwetu wapo wa namna hiyo mkuumchemsho na bia za offa
Labda unisaidie kwa kunitajia vingine mkuu. Maana Ulivyovitaja huwa naona tu bongo movie, kwetu kula hivyo vitu ni anasa. Labda siku za sikukuu kubwa kubwaPunguzeni Nyama choma bia, chipsi mayai ya kizungu na...
Kuku wa kizungu my dear[emoji8]
Punguza misosiLabda unisaidie kwa kunitajia vingine mkuu. Maana Ulivyovitaja huwa naona tu bongo movie, kwetu kula hivyo vitu ni anasa. Labda siku za sikukuu kubwa kubwa
Basi ni vizuri... Lkn sio mtambi huooo!
Hala hala asije akakuomba picha ya hilo tumbo ili ajionee
Kwanini lakini! Kwa mdada nzuri kwa sura.
Mrembo mtanashati unakuja kutokwa na kitambi.
Tatizo ni nini? Noma sana kwa kweli mdada kuwa na kitambi!
View attachment 774255
Kwanini lakini! Kwa mdada nzuri kwa sura.
Mrembo mtanashati unakuja kutokwa na kitambi.
Tatizo ni nini? Noma sana kwa kweli mdada kuwa na kitambi!
View attachment 774255
Kweli umenikumbusha anitumie picha[emoji23][emoji23]Hala hala asije akakuomba picha ya hilo tumbo ili ajionee
Kama kweli... MkuuMtuwacheee na vitambi vyetu
Duuh! Hatari sana mkuuVitambi vingine vya siku hizi ni kwa sababu ya zile dawa za kupunguza makali ya ule ugonjwa ...
Gym hainihusu na diet sitaki hata kusikia najipenda nilivyo mkuuKama kweli... Mkuu
Gym inakuhusu