Kitambi kwa mwanamke noma sana!

Kitambi kwa mwanamke noma sana!

Wanawake hasa wa ushwahilini wanapenda sana kunywa bia ovyo ovyo. Na kula nyama choma, chips...nk na hawafanyi mazoezi zaidi ya kukatika viuno. Hivyo lazima wafuge matumbo.
Wenyewe wanasema mazoezi ya kitandani yanawatosha utawasikia wakisema hivyo.
 
Back
Top Bottom