Kwanza nikupe hongera kujistukia kitambi kwa mwanamke noouma!Pili nimeona wanajamii wamekushauri nini wengine naona wao ni watu wa masihara kila wakati,Mimi ningekuomba upunguze breakfast kwani kinadada wengi kwa uzoefu wa ukikuta anapata hiyo kitu asubuhi ni balaa utafikir mchana hali,kunywa chai kawaida bila hayo masupu ,mayai nk pia chakula ,hzi kuku poa nazo kwenye chips ka unatumia hebu acha,Mwisho wa yote kuondoa hicho kitambi ni KUFANYA MAZOEZI TU YA TUMBO TU!(SIT UPS) NINA CD YA BILLY BLANKS INAITWA TAE BO,NI PM UKIHITAJI ,INA MAZOEZ MEPESI SANA WAWEZA FANYA HATA CHUMBANI! NAFIKIRI UMENIELEWA.