Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
- Thread starter
- #21
Mtu kaomba ushauri badala ya kumsaidia unaanza kumwambia afanye mapenzi. Huo sio ushauri na kama kwako ni ushauri basi ndo akili yako ya kijinga ilipofikia upeo........... Dada yangu dawa ambayo inaweza kukusaidia kupunguza kitambi bila kufanya mazoezi ni: 1. Punguza kula mlo mkubwa yaani kula kidogo halafu kwa mpangilio-breakfast kidogo, lunch kidogo na dinner kidogo. Ila usiache kabisa kula kwani utaumwa vidonda vya tumbo....2 Kunywa maziwa mgando glass moja kila baada ya lunch na diner. Maziwa mgando au mtindi yanayeyusha mafuta mwilini. Ukizingatia hayo baada ya miezi 2 kitambi kwisha.
Nashukuru sana kwa ushauri wako.... Stay blessed!!!