LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Unapokuwa na kitambi maana yake ni kwamba unawaambia watu kwamba wewe huwa unakula kula kula hovyo bila kufuata mpangilio. Kwamba wewe huwa unalewa hovyo hovyo bila kuwa na kiasi. Kwamba wewe huwa hufanyi mazoezi na wala huoni umuhimu wa kufanya mazoezi.
Na kama huwa unakula kula hovyo maana yake ni kwamba kichwa chako hakipo vizuri kwa sababu kichwa chako kingekuwa vizuri ungepaswa kujua kwamba kula kula hovyo kunaweza kukuletea kitambi na unene uliopitiliza na hivyo kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa hatarishi kama vile kisukari,maradhi ya moyo n.k.
Wakati mwehu yeye anakula jalalani, mwenye kitambi yeye ameligeuza tumbo lake kuwa jalala la kuhifadhi takataka zitokanazo na kula hovyo bila mpangilio. Binafsi huwa siamini kabisa uwezo wa kufikiri wa MTU anaekula hovyo.
Imani hiyo hupungua zaidi pindi mtu huyo anapokuwa graduate.
Hata kama nilikuwa nataka kumpa deal basi Nita cancell. Kwa mfano labda Nina ishu yangu inayohitaji mwanasheria halafu kwenye appointment akawa anakula let's say coca na chips yai mix na tomato. Nita cancel deal yangu hapo hapo kwa sababu siamini kama MTU anaeingiza uchafu tumboni mwake anafaa kuaminika kiasi hicho.
Angalia hata kwa wanawake.
Wanawake slim wako more smart than fat girl.
Do a very simple research. Tongoza slim girl mwenye tumbo flat halafu tongoza na mdada mnene mwenye kitambi uone nani utampata kwa urahisi.
Wanawake wenye vitambi are so easy, ukimkuta mgumu ni wale wanaojifanyaga kuplay hard to get. Slim girls kuwapata ni full gospel