Kitambi ni ugonjwa wa akili

Kitambi ni ugonjwa wa akili

Mwehu mwenyewe

Hahahaha nadhani mkuu una kitambi, hahahaha fanya mazoezi bana ukiondoe.
Ila kitambi dah! Kuja mwilini rahisi kukiondoa sasa!, uite waandishi habari, uite wanawake waliokimbiwa na waume zao kulea watoto dah!!...mpaka kije kipotee unaweza shtukia umeita Dsm nzima.
Kama juhudi za kukipunguza za kusua sua watu wanaweza kuitikia wito wakaondoka na kukuacha na kitambi chako.
 
Punguzeni vitambi wakuu acheni hasira...wengine wakipewa dawa ya kuharisha tuu vinaisha...
 
Mtoa mada upo sahihi.
Toeni vitambi hivyo ndio chanzo cha magonjwa mengi changu kimeisha kwa kutembea tu masaa 4 kwa kila wiki.
 
Wenye vitambi vyao sasa maneno wanatoyatoa

Bahati mbaya sana kuna watu wanapenda na wanaona sifa kuwa na vitambi.
 
Kupitia comment za Uzi huu nishawajua wenye vitambi[emoji13]
 
Hii tabia ya kutoheshimu haki za wengine k.m hali ya miili ya binadamu mwenzio ni ya kusikitísha. Hujaombwa ushauri unajipa haki ya kuzungumzia miili ya wenzio.
Kuna sababu bingo tunazozijua na tusizozijua kuhusu unene wa mtu.
 
Yataka moyo kufanya mazoez hapa tu kitambi kimeanza demu wangu analalamika nimekuwa na kitambi daaa ntajitahid zoez kwakwel bora kukubali kuliko kumkasirikia mtoa mada maana kakumbusha ukiwa na kitambi ww mwenyewe unakuwa hujipendi
 
Ulivyohusisha kitambi na wehu/ugonjwa wa akili sijakuelewa. Je wehu/vichaa (wote au wengi wao) wana vitambi sababu wanakula ovyo? Sijaelewa ulivyohusisha hapo. Vinginevyo ungeishia kwenye kuwa na matatizo ya akili ningekuelewa maana kila mmoja (ukiwemo wewe mtoa hoja) ana matatizo ya akili ila yanatofautiana viwango.
 
We pumbafu sana wewe! Anyways hivi Albert Einstein hakuwa ba kitambi? Unaweza kufikia hata 0.0000000001% ya uwezo wake wa kufikiri
 
Ingawa umetumia lugha isiyo na nidhamu ila imeongea ukweli kwa sehemu kubwa,kwa kifupi kitambi n uzembe na ratiba mbovu ya kula..ndio maana vijijin kukuta MTU ana kitambi sio sana maana shughuli za kilimo zinasaidia kuchoma all unnecessary fats
Umesomeka vizuri kabisa. Kijijini ukimuona mwenye kitambi sio rahisi. Kijiji nilichokea mimi sijui kama kuna mwenye kitambi.
 
Back
Top Bottom