Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemjibu huyu kichwa maji vizuri sana.Slim girls kama kina nandy ndio wako smart? Skia bana Akili za mtu hazipimwi kwa umbo, urefu, n.k
Nani alikufundisha kuwa unene ni matokeo ya kula sana pekee?
Ni nani aliyekufundisha kuwa, kufanya mazoezi hukufanya mtu lazima 'uslim'?
Siku nyingine unapoanzisha mada inayosomwa na watu wa kada mbalimbali, jiepushe sana na kauli za kijuaji na kukebehi watu.
Yataka moyo kufanya mazoez hapa tu kitambi kimeanza demu wangu analalamika nimekuwa na kitambi daaa ntajitahid zoez kwakwel bora kukubali kuliko kumkasirikia mtoa mada maana kakumbusha ukiwa na kitambi ww mwenyewe unakuwa hujipendi
Ohoooo! Mzee Baba, wengine tuna vitambi hatuwezi kukimbiaJamani mnamsema Yule wa awamu ya tatu
Yeye huyo makalio ndio ubongo wake.Wewe kitambi cha mtu kinakuhusu nini?
Mbona hauzungumzii makalio?
Au siyo sehemu za mwili?
Mxiiiew
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Aiseee watu wakali vibaya mno
Fanyeni mazoezi aseeeh
Hili jiwe limetupwa kwa ustadi
Angalia hata kwa wanawake.
Wanawake slim wako more smart than fat girl.
Do a very simple research. Tongoza slim girl mwenye tumbo flat halafu tongoza na mdada mnene mwenye kitambi uone nani utampata kwa urahisi.
Wanawake wenye vitambi are so easy, ukimkuta mgumu ni wale wanaojifanyaga kuplay hard to get. Slim girls kuwapata ni full gospel
Kwa muda gani?Mtoa mada upo sahihi.
Toeni vitambi hivyo ndio chanzo cha magonjwa mengi changu kimeisha kwa kutembea tu masaa 4 kwa kila wiki.