Kitambulisho cha mjasiriamali kumsaidia mtu kupata mkopo. Je, ni kweli au?

Hata leo ukienda benki kuchukua mkopo kuna masharti yake.
Kitambulisho cha Mjasiriamali hakina:
1. Picha ya mmiliki,
2. Hakina Majina kamili ya mmiliki,
3. Hakina saini ya mmiliki
4. Hakina sehem yoyote kwamba kikiwekwa kwenye mashine kitatoa details zote za mtu.

Sasa tukisema kina msaidia mtu kupata mkopo ni sahihi kweli?
siasa ndugu....na sisi tunapokea kwa nderemo na vifijo tele pasipo ya kutafakali vilivyo
 
Alafu baada ya uchaguzi hiki kitamburisho kinaenda kutotumika wazee wa kodi TRA wataanza kusumbua na Leseni na makadilio yao ya maumivu kama kawaida.
 
Tusividharau, siku za usoni vitaborehswa ili kutuwezesha kupata mikopo midogo midogo iyakayotuwezesha kuimarisha biashara zetu. Msisikilize ndile za watu.
 
Hata leo ukienda benki kuchukua mkopo kuna masharti yake.
Kitambulisho cha Mjasiriamali hakina:
1. Picha ya mmiliki,
2. Hakina Majina kamili ya mmiliki,
3. Hakina saini ya mmiliki
4. Hakina sehem yoyote kwamba kikiwekwa kwenye mashine kitatoa details zote za mtu.

Sasa tukisema kina msaidia mtu kupata mkopo ni sahihi kweli?
Huyo meko kumuelewa lazima uwe umevaa nguo za ccm huku umelewa kitonko,jamaa ni muongo kuwahi kutokea toka dunia imeumbwa
 
Usishahau alisema pia unaweza tibiwa ukienda nacho hospital, anamaanisha hyo pia ni bima ya 'wanyonge'

Huyu dingi sound zake 'pimbi' anasubiri
Hata leo ukienda benki kuchukua mkopo kuna masharti yake.
Kitambulisho cha Mjasiriamali hakina:
1. Picha ya mmiliki,
2. Hakina Majina kamili ya mmiliki,
3. Hakina saini ya mmiliki
4. Hakina sehem yoyote kwamba kikiwekwa kwenye mashine kitatoa details zote za mtu.

Sasa tukisema kina msaidia mtu kupata mkopo ni sahihi kweli?
 
Benki gani hiyo.....huyo jamaa anaropokaga tu
 
Tusividharau, siku za usoni vitaborehswa ili kutuwezesha kupata mikopo midogo midogo iyakayotuwezesha kuimarisha biashara zetu. Msisikilize ndile za watu.
Mkopo wa benki wa kufanya biashara hizooo
IMG_20200926_215003.jpg
 
Hata leo ukienda benki kuchukua mkopo kuna masharti yake.
Kitambulisho cha Mjasiriamali hakina:
1. Picha ya mmiliki,
2. Hakina Majina kamili ya mmiliki,
3. Hakina saini ya mmiliki
4. Hakina sehem yoyote kwamba kikiwekwa kwenye mashine kitatoa details zote za mtu.

Sasa tukisema kina msaidia mtu kupata mkopo ni sahihi kweli?
Magufuli ukimuuliza alichoongea wili mbili zilizopita hata yeye unaweza kukuta amesahau. In short jamaa hawakujiandaa kwa uchaguzi
 
Back
Top Bottom