Kitambulisho cha mjasiriamali kumsaidia mtu kupata mkopo. Je, ni kweli au?

siasa ndugu....na sisi tunapokea kwa nderemo na vifijo tele pasipo ya kutafakali vilivyo
 
Alafu baada ya uchaguzi hiki kitamburisho kinaenda kutotumika wazee wa kodi TRA wataanza kusumbua na Leseni na makadilio yao ya maumivu kama kawaida.
 
Tusividharau, siku za usoni vitaborehswa ili kutuwezesha kupata mikopo midogo midogo iyakayotuwezesha kuimarisha biashara zetu. Msisikilize ndile za watu.
 
Huyo meko kumuelewa lazima uwe umevaa nguo za ccm huku umelewa kitonko,jamaa ni muongo kuwahi kutokea toka dunia imeumbwa
 
Usishahau alisema pia unaweza tibiwa ukienda nacho hospital, anamaanisha hyo pia ni bima ya 'wanyonge'


Huyu dingi sound zake 'pimbi' anasubiri
 
Benki gani hiyo.....huyo jamaa anaropokaga tu
 
Magufuli ukimuuliza alichoongea wili mbili zilizopita hata yeye unaweza kukuta amesahau. In short jamaa hawakujiandaa kwa uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…