Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
kitanda size yake ni 5*6 (yani tano kwa sita, Urefu futi sita, upana futi tano)..
Kwa maana hio kitaendana na Godoro la size hio au pungufu na si zaidi..
Chaga zote ni nzima na zinakaza vizuri sana
Hakina kunguni hata kidogo
Kona zote za kukazia ni nzima💥
unauziwa kitanda na mwana dada under 30. Hajakitumia muda mrefu💁♀️
Utachangiwa elfu 5 ya usafiri🚛
kinabeba hadi kilo 300😎
Karibu sana kimara upate kitanda imara😄