INAUZWA Kitanda 5*6, kwa laki 1 tu. Kimara suka, Dar

INAUZWA Kitanda 5*6, kwa laki 1 tu. Kimara suka, Dar

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
FB_IMG_1632637101665.jpg


kitanda size yake ni 5*6 (yani tano kwa sita, Urefu futi sita, upana futi tano)..

Kwa maana hio kitaendana na Godoro la size hio au pungufu na si zaidi..

Chaga zote ni nzima na zinakaza vizuri sana

Hakina kunguni hata kidogo

Kona zote za kukazia ni nzima💥

unauziwa kitanda na mwana dada under 30. Hajakitumia muda mrefu💁‍♀️

Utachangiwa elfu 5 ya usafiri🚛

kinabeba hadi kilo 300😎

Karibu sana kimara upate kitanda imara😄
 
Hahahahahah mwanadada hajakitumia kwa muda mrefu una hakika?
 
Tuwr serious jamani namba za kuwasiliana ni 0678604333 na sio vinginevyo.

mambo ya PM yanaturudisha nyuma
 
Hiyo promo ha ha ha...

Then join yale magroup ya fb ya vitu used, kule unauza fasta tu.
 
Back
Top Bottom