antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Duuh!Hakuna tendegu wala chaga kuvunjika View attachment 2194627
Ila labda kinaweza kuwa kizuri kwa mikasiš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh!Hakuna tendegu wala chaga kuvunjika View attachment 2194627
Durability na Costs,, kitanda cha mninga kizuri labda 8x8 ft unaweza kuta zaidi sh 750,000 to 1 mlnNimekuelewa, huko mbele ubunifu unaweza kuboreshwa. Lakini ninahisi dhana ya huyu bwana ni kukomoa wezi.
Unachukua mpapai mkubwa unachonga muguu ya kutanda kama box, unaimwagia zege, likikauka umepata muguu.Durability na Costs,, kitanda cha mninga kizuri labda 8x8 ft unaweza kuta zaidi sh 750,000 to 1 mln
naamin ukipata fund mzr wa zege na form work hiki cha zege kitakuwa chini zaidi may be 300,000
Ungeweka na misumali ili kikupe massage wakati wa kulalaHakuna tendegu wala chaga kuvunjika View attachment 2194627
Kweli mkuu ukilala hapo kama umelala juu ya kaburi utaota mauza uza Kama yote ššSITAKI KABISA. KAMA KABURI?
Safi sanaHakuna tendegu wala chaga kuvunjika View attachment 2194627
Imekaa vizuri lakini mechi bila ile mikito ya kwichi kwichi mzuka unashukaHakuna tendegu wala chaga kuvunjika View attachment 2194627