Kitanda cha kujifungulia akina mama kinahitajika

Kitanda cha kujifungulia akina mama kinahitajika

Makoye Matale

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Posts
6,491
Reaction score
2,104
Habari Wakuu. Naomba msaada wa kujulishwa ni wapi naweza kupata kitanda cha kujifungulia akina mama (delivery bed) jijini Dar es Salaam au Mwanza. Nitafurahi pia kufahamu bei yake.

Natanguliza shukrani.
 
unakitaka baada ya muda gani. Na inategemea bei ulo nayo ndo tuangalizie
 
Back
Top Bottom