Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi mkuu!Jamani sisi wote ni wa tz kwa hiyo ni ndugu.
Mwacheni ndugu yetu afanye business msimuharibie hamjui ana shida gani.
Sio fair hivyo wakuu tena bei hiyo ni sawa na bure kwa wanaojua bei halisi ya hivyo vitu.
Kwa bahati mbaya naishi Mbeya lakini huo mzigo ningebeba leoleo.
Yaah kitanda cha mninga cha mbao lazima uzito wake ni kuanzia 100+kg. Other wise ujue ni mabanzi hayo kama vitanda vingi vinavyotengenezwa dar ni mabanzi matupu na miti laini.
Tinaweza kukipima kabka ya mauziano?Yaah kitanda cha mninga cha mbao lazima uzito wake ni kuanzia 100+kg. Other wise ujue ni mabanzi hayo kama vitanda vingi vinavyotengenezwa dar ni mabanzi matupu na miti laini.
Kina shock absorber nn mkuuMkuu me nimsafi!
Na huwa sinunui mavitu ya hovyo hovyo ili kujaza chumba.
Sijawahi kuwa na hao tigo na pia ni kigumu sana huwezi sikia kelele zozote hata kama kilo 300 zina shake juu ya bedi.
Unaelewa maana ya kilo 120??Yaah kitanda cha mninga cha mbao lazima uzito wake ni kuanzia 100+kg. Other wise ujue ni mabanzi hayo kama vitanda vingi vinavyotengenezwa dar ni mabanzi matupu na miti laini.
ShukranWadau kitanda nimeuza kwa member wa humu jf na nashukuru kwa ushirikiano wenu.