black chinese
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 1,148
- 1,228
Hongera.. wanunuaji huwaga hawana makeke... wanachukua namba wanakutafuta kimyakimya mnamalizana.Wadau kitanda nimeuza kwa member wa humu jf na nashukuru kwa ushirikiano wenu.
Wana wengi niliowahi kuwauzia mali zangu sijawahi kuziona comment zao kwenye uzi wowote.. na wengi hawako registered.