Kitanda cha mtoto mtarajiwa wa Diamond ni Madini tupu

Ngoja kwanza nisubirie mtoto akizaliwa kweli ndo nitaongea, but kila la kheri kwao
 
Tushangae wote, huyo ridhiwan mwenyewe hajawahi kujiita hvyo huo uchafu wa tandale division ten atakuwa anaota

hhaahaaha daah kwel wivu mbaya hahaaahaaa bwabwabwaaabwaaaah tatizo nyota na anawatesa wengi huyu kijana mdogo..

lazima uumie lakini...anamiliki jumba la kifahari lenye kila kitu cha thamani ndani ambacho wewe hujawahi hata kuota...
anajulikana kama hela mpka nchi za watu yaan hadi inakera ( naimani hata babu yako kijijini anamjua)... nchi ambazo umeishia kuzisoma kwenye ramani darasa la Saba... anamiliki mwanamke mrembo,maarufu,tajiri yaan boss plus a boss ...ambayo wewe umeishia kwa wacheza vigodoro yombo buza...

utaachaje kuchukia kwa mfano?!, hahaahaa una haki pasuka tu...ongea mwaya kidogo nguvu ya hasira na wivu ipungue. ...
 
Kumbe miezi minne ultra sound inaonesha jinsia ya mtoto?
 
una vipimo vya kwamba ni wake?
hovyo kabisa

Hivi Unagombania nini Sasa.. Wewe si Ndo umesema Si Wake . Inabidi Ulete Udhibitisho wa Kwamba Si wake..

Mimi Nimeona Mimba Ya Zari kwahiyo najua ni ya Diamond kwa sababu wapi katika mahusiano.. sasa Sijui unachopigania nn.. Agongwe mwingine Kikuume Wewe
 

Hahahaaa haaaaaahaaahaa, Umenifurahisha. Kuna watu sijui akili wameziacha wapi!
 
Nyie tu ndo wenye viherehere vya kumuongelea diamond kutwa, hicho kitanda kaweka tu ili kuonesha ni kiasi gani yupo excited, eti mtu anakuja ana anzisha uzi eti "kitanda cha mtoto wa diamond ni Madini tupu" mfyuuu.

Mwingine anaanza hiyo mimba sio yake, mara zarina hana mimba , mara picha ya kugoogle, blah blah kibao.

Kuna tatizo moja kubwa ndo linalowasumbua ni kwamba hamuamini kama ipo siku diamond angepata mwana!
 

labda wawe baba na mtoto wa Taifa la Wasafi sio la TZ au sio
 
Tushangae wote, huyo ridhiwan mwenyewe hajawahi kujiita hvyo huo uchafu wa tandale division ten atakuwa anaota


hebu agiza kinywaji hapo aisee na nyama kilo.

mtu mwenye wasiwasi na uzazi kampa mimba mwanamke watu waaipumue. watu wana hadi watoto 20. uswahilin hakufai aishi mtoto wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…