Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tushangae wote, huyo ridhiwan mwenyewe hajawahi kujiita hvyo huo uchafu wa tandale division ten atakuwa anaota
Atajiju na kiki zake
Mtoto wa taifa... Heheheee.
Una Vipimo vya Kwamba si wake?
una vipimo vya kwamba ni wake?
hovyo kabisa
Duuuuh JAMIIFORUMS imevamiwa na Watu wenyewe mawazo ya Facebook pages.. Sasa Diamond entertainment personnel aje afundishe Watoto wako Mambo ya Uchumi na Utamaduni...... Acha Mihemko kujitoa Akili kuziweka Kwenye Sahani halafu unaanza kushka SIMU Kukomment..
Mbona Hao watoto hawajaenda Kwa ROMA mkatoliki wakajifunze siasa si anaimba Siasa.. Si waende kwa Makirikiri si wanadumisha Utamaduni...
Muwe na Akili Siku Nyingine
mtoto wa taifa???? ina maana diamond anataka kujiita baba wa taifa??? huwez kuwa bb au mtoto wa taifa coz hauna jambo la muhim la kitaifa alilofanya diamond zaid ya kutuharibia vijana na watoto kuvaa ovyo na kuwa na fikra nyepesi za mapenzi badala ya kuwafundisha mashabiki wake kujitambua kisiasa, kiuchumi,kiutamaduni na kijamii.
labda wawe baba na mtoto wa Taifa la Wasafi sio la TZ au sio
Tushangae wote, huyo ridhiwan mwenyewe hajawahi kujiita hvyo huo uchafu wa tandale division ten atakuwa anaota