Kitanda cha mtoto mtarajiwa wa Diamond ni Madini tupu


Hayo masuala ya kisiasa, kiuchumi ni kazi ya kina zitto kabwe, lowassa , mbowe na wengineo....kazi ya diamond ni kutoa burudani ....
 
Hahahaaa haaaaaahaaahaa, Umenifurahisha. Kuna watu sijui akili wameziacha wapi!

Unastahili hata likes 500... Kuna watu humu washaanza kumlinganisha Dai na Nyerere eti mtu anauliza kati ya Dai na nyerere nani anastahili kuwa na mtoto wa kitaifa!!!!!

Yaani inaonekana kabisa wamekosa msanii wa kumlinganisha na Diamond hapa bongo wanaanza kumlinganisha na waliopigania uhuru,,, leo wameanza na Nyerere, kesho utaskia wanamlinganisha Diamond na mandela, keshokutwa utaskia Diamond na ghadaffi ili mradi wapate kufanya mlinganyo ambao utakona mioyo yao
 
Hayo masuala ya kisiasa, kiuchumi ni kazi ya kina zitto kabwe, lowassa , mbowe na wengineo....kazi ya diamond ni kutoa burudani ....

nasikitika sana ww n sawa na huyo bb ako wa taifa kichwani hamna kitu.kwa kusaidia kma hukwenda shule kasome vitabu.kma hujui kusoma jua kwamba kaz ya sanaa ni kuelimisha na kuburudisha.ukiona msanii anaelemea upande mmoja huyo co msanii.UNAWEZA KUWA UNAJUA LAKINI HAUFAHAMU.
 

Hahaha.... Kama hujaifahamu elimu , burudani zinazopatikana katika miziki ya diamond basi hatuna haja ya kubishana hapa... Na kujisifu kote hko unashindwa hata kuchambua kipi ni kipi... Na uproffessa mavi uliijivisha hauoni hata aibu kutwa kushinda humu kumdiss chibbu
 
Dah, this is too much.. Sasa huyu diamond mtoto hajazaliwa mbwembwe kibao, ya mungu mengi, ya kuku mayai, mimba ikiharbika ama mtoto akafa ktk uzaz itakuwaje.. Simuombei mabaya butbin reality hakukuwa na haja na mikogo kibwena
 
Its like km anafanya kazi na mungu kuwa atapata kile anachohitaji 100%
 

Haaaaaaaaaah umetisha
 

ndo mana nakwambia you are lk empty box.yani ww mapenzi nayo umeona elimu ya kujivunia kutoka mzik wa diamond!! zats y u hv simple thoughts coz u hv overwhelmed by Mapenzi.ila ww endelea tu kumshabikia tu wakt mwenzio anapiga hela kwa ujinga wako.UJINGA WAKO NDO MTAJI WAKE.
 
mmojawapo wa hao anayesema Dimond hana uwezo si keshakiri kuwa hazai? Mlitaka Dimond aingize mimba kwa mikono? Na wengine alishasema kuwa wamechomoa mimba zake. Na sasa kasema Zari ana mimba yake. Mbona Zari hajakana? Hawa wadada wa kibongo waache wale ujana ndugu yangu, mwisho wa siku wataoga maji yaliyopoa, na wengine yameshapoa kitambo. Mwacheni Dimond achekelee zao lake lijalo maana ana kila kitu isipokuwa mrithi wake tu, na dada wa kiganda kaona isiwe shida.
 

Ungekuwa haumshabikii usingepost kuhusu yeye..... Kama kupiga kwake hela kuna kuuma sanaaaa unaruhusiwa kufwa kwa hasira
 
Ungekuwa haumshabikii usingepost kuhusu yeye..... Kama kupiga kwake hela kuna kuuma sanaaaa unaruhusiwa kufwa kwa hasira

duu kumbe hata ushabiki hujui maana yake.pole cwez kubishana na ww katafute wa aina yako.
 
Eeee wana JF eee! Acheni umburula kwa ajili ya mtoto wa tandale. Zali ana watoto watatu, kila mmoja na baba yake. Diamond kakutana na huyo demu wakati ana kimimba kichanga kabisa aisee! Lakini Zali alikuwa na plan ya kufanya kazi na chibu, akaona isiwe kesi, na mimba hii lazima nimpakazie ili lengo langu litimie. Kwa hiyo sasa, kama hujui Zali yupo na Diamond kwa malengo yake binafs. Subiri mtoto azaliwe kama hayajatokea ya Ney na Siwema. Yetu macho.
 

Nafikiri angekumiliki wewe ingekufaa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…