el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
mtoto wa taifa???? ina maana diamond anataka kujiita baba wa taifa??? huwez kuwa bb au mtoto wa taifa coz hauna jambo la muhim la kitaifa alilofanya diamond zaid ya kutuharibia vijana na watoto kuvaa ovyo na kuwa na fikra nyepesi za mapenzi badala ya kuwafundisha mashabiki wake kujitambua kisiasa, kiuchumi,kiutamaduni na kijamii.
Hayo masuala ya kisiasa, kiuchumi ni kazi ya kina zitto kabwe, lowassa , mbowe na wengineo....kazi ya diamond ni kutoa burudani ....