Kitanda cha mtoto mtarajiwa wa Diamond ni Madini tupu

Kitanda cha mtoto mtarajiwa wa Diamond ni Madini tupu

mtoto wa taifa???? ina maana diamond anataka kujiita baba wa taifa??? huwez kuwa bb au mtoto wa taifa coz hauna jambo la muhim la kitaifa alilofanya diamond zaid ya kutuharibia vijana na watoto kuvaa ovyo na kuwa na fikra nyepesi za mapenzi badala ya kuwafundisha mashabiki wake kujitambua kisiasa, kiuchumi,kiutamaduni na kijamii.

Ahsante!
 
Duuuuh JAMIIFORUMS imevamiwa na Watu wenyewe mawazo ya Facebook pages.. Sasa Diamond entertainment personnel aje afundishe Watoto wako Mambo ya Uchumi na Utamaduni...... Acha Mihemko kujitoa Akili kuziweka Kwenye Sahani halafu unaanza kushka SIMU Kukomment..

Mbona Hao watoto hawajaenda Kwa ROMA mkatoliki wakajifunze siasa si anaimba Siasa.. Si waende kwa Makirikiri si wanadumisha Utamaduni...

Muwe na Akili Siku Nyingine
 
Hahahahhahahahahahahhaha...duh mtoto wa taifa???
 
kufanya maandalizi si jambo baya....lakini pia angesubilia mana kuna mambo ya bahati mbaya......
 
hii pic its like av seen it before on Google or something. way back before the platnum-zari saga when I was doing an online course on interior design
 
I don't know, but I'm still doubting if either zari is real pregnant or diamond is responsible for the pregnancy... hata yeye mwenyewe hajiamini, i have heard him yesterday the way he was replying alivyoulizwa kuhusu ujauzito wa zari na kuhusu kuwa baba mtarajiwa, but the way alivyokuwa anajibu nikaelewa kitu. Siku zote MOTIVES (inner world ) DETERMINES (control) BEHAVIOR (our outer world ).

Ukiwa MBEA halafu ukawa unaelewa psychology ya mtu, basi utaelewa vitu vingi kupitia maelezo mafupi tu ya huyo mtu. Sura , macho na maelezo ya mtu vinasaidia sana kupata taarifa /umbea au ukweli kutoka kwa mtu unayemkusudia. by the way time will tell

nimekupenda katika hili...a little conversation with some one can give u a lot of information about him...so let's wait n see that " mtoto wa taifa"
 
nimekupenda katika hili...a little conversation with some one can give u a lot of information about him...so let's wait n see that " mtoto wa taifa"

Yes, let's wait

Juzi nilimsikia shamsa akihojiwa na Millard kuhusu mahusiano yake na ney, shamsa akasema hawana mahusiano wanacheza movie tu, alipomuuliza kama ney akimtongoza atamkubalia akajibu kuwa kwa mwanamke anayemjua ney kiundani zaidi hawezi kukataa kuwa nae,kama mtu una akili timamu huwezi kumuuliza tena . Katoa maelezo machache ila yameleta ujumbe mkubwa.
 
Hahhahahahahahha Wengine walizichomoa na kumsema Diamond hazai.. Nahisi sasa hivi wanajuta kukosa Bahati hivi..

Be a Boss Date a Boss Build an Empire..

Unajuaje kama wake?
 
Tushangae wote, huyo ridhiwan mwenyewe hajawahi kujiita hvyo huo uchafu wa tandale division ten atakuwa anaota

Hahahahaha...wanawake wanatuharibu sana mkuu!!nadhani umenielewa.
 
I think Zarinah is real pregnant and Diamond is so excited.The lady is aged and yet she is sexy with multiple sources of income and she has experience with men so Diamond will be very easily handled.
Why would she fake pregnancy? Thats not her first time.Though they are too much of showbiZ, this is a vengeful relationship.Its time they concentrate on building their intimacy rather than showing their Exs that they rock!
Nna dictionary hapa.

Hahaaaaa!! Hapo kwenye "Nna dictionary hapa" ndo uliponimaliza! You made my day Mkuu!!
 
hii pic its like av seen it before on Google or something. way back before the platnum-zari saga when I was doing an online course on interior design
Umeandika kingereza wengi hawaja kuelewa lakini we nimuongo kujikuta kila picha unaijua hehehehe eti google kabla ya zari na diamond usichekeshe watu sio kila kitu ni editing
 
Back
Top Bottom