Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #41
Focal,Uzuri wako unaandika historia ya kweli iliyofichwa kwa makusudi. Vijana wanaosema wewe mdini wanahitaji kujitafakari zaidi. Huwezi kuutenganisha uislamu na historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Ni kweli kabisa mzee Mohamed Said maandishi yako yataishi milele, haswa kwetu wakristo tunaoijua vyema historia ya kupigania uhuru wetu.Focal,
Historia hii imeumiza wengi sana.
Kwa kusema kauli hii moja kwa moja kunakufanya kuonekana mjinga na mzigo ktk jamii,ni hatari leo kuwa na kijana anaewaza ujinga huu ktk circle ya taifa mawazo haya yaache waondoke nayo wazee dizain ya huyu mzee hapa wewe jifunze kujenga umoja.Uzuri wako unaandika historia ya kweli iliyofichwa kwa makusudi. Vijana wanaosema wewe mdini wanahitaji kujitafakari zaidi. Huwezi kuutenganisha uislamu na historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Wala hukuwa na haja ya kutoa lugha kali na za matusi kiasi hicho. Mimi ni mkristo kwa kuzaliwa, mmoja wapo wa wazee wetu alikuwemo kwenye harakati hizo, mengi anayoandika mzee Mohamed Said yana ukweli. Labda kama umeamua kuukataa ukweli wenyewe.Kwa kusema kauli hii moja kwa moja kunakufanya kuonekana mjinga na mzigo ktk jamii,ni hatari leo kuwa na kijana anaewaza ujinga huu ktk circle ya taifa mawazo haya yaache waondoke nayo wazee dizain ya huyu mzee hapa wewe jifunze kujenga umoja.
Uislam na historia ya nchi wapi na wapi tumieni akili.
Mimi sikuandika vile kwa sababu nataka kuijua imani yako uwe yeyote lakini ukishaanza habari za kuleta masuala ya dini kwenye mambo yanayopaswa yawekwe ktk umoja wa kitaifa yeyote uwaye utaonekana mjinga na kituko.Wala hukuwa na haja ya kutoa lugha kali na za matusi kiasi hicho. Mimi ni mkristo kwa kuzaliwa, mmoja wapo wa wazee wetu alikuwemo kwenye harakati hizo, mengi anayoandika mzee Mohamed Said yana ukweli. Labda kama umeamua kuukataa ukweli wenyewe.
Huna haja ya kuwa na hasira kwenye suala ambalo ni kweli, huwezi kuwatenganisha waislamu na juhudi za kupigania uhuru wa Tanganyika. Wakati mwingine ni busara kuukubali ukweli hata kama hatuupendi. Inawezekana kuna wakati mzee Mohamed Said anaongeza na upenzi wa dini yake, lakini hilo haliuondoi ukweli wenyewe. Hata walioamua kuificha historia hii walikuwa na hofu na uoga kama ulionao wewe.Mimi sikuandika vile kwa sababu nataka kuijua imani yako uwe yeyote lakini ukishaanza habari za kuleta masuala ya dini kwenye mambo yanayopaswa yawekwe ktk umoja wa kitaifa yeyote uwaye utaonekana mjinga na kituko.
Na Kiswahili fasaha neno “mjinga“ siyo tusi mjinga maana yake ni unafundishika so unayo nafasi ya kujifunza.
Dr. Haya...Tukutane usiku wa tuzo
Saint...Kwa kusema kauli hii moja kwa moja kunakufanya kuonekana mjinga na mzigo ktk jamii,ni hatari leo kuwa na kijana anaewaza ujinga huu ktk circle ya taifa mawazo haya yaache waondoke nayo wazee dizain ya huyu mzee hapa wewe jifunze kujenga umoja.
Uislam au Ukristo au chochote kwa ubinafsi wake na historia ya nchi wapi na wapi tumieni akili.