Kitanda cha Semadari

Kitanda cha Semadari

Uzuri wako unaandika historia ya kweli iliyofichwa kwa makusudi. Vijana wanaosema wewe mdini wanahitaji kujitafakari zaidi. Huwezi kuutenganisha uislamu na historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Focal,
Historia hii imeumiza wengi sana.
 
Uzuri wako unaandika historia ya kweli iliyofichwa kwa makusudi. Vijana wanaosema wewe mdini wanahitaji kujitafakari zaidi. Huwezi kuutenganisha uislamu na historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Kwa kusema kauli hii moja kwa moja kunakufanya kuonekana mjinga na mzigo ktk jamii,ni hatari leo kuwa na kijana anaewaza ujinga huu ktk circle ya taifa mawazo haya yaache waondoke nayo wazee dizain ya huyu mzee hapa wewe jifunze kujenga umoja.

Uislam au Ukristo au chochote kwa ubinafsi wake na historia ya nchi wapi na wapi tumieni akili.
 
Uislam na historia ya nchi wapi na wapi tumieni akili.
Wala hukuwa na haja ya kutoa lugha kali na za matusi kiasi hicho. Mimi ni mkristo kwa kuzaliwa, mmoja wapo wa wazee wetu alikuwemo kwenye harakati hizo, mengi anayoandika mzee Mohamed Said yana ukweli. Labda kama umeamua kuukataa ukweli wenyewe.
 
Mimi sikuandika vile kwa sababu nataka kuijua imani yako uwe yeyote lakini ukishaanza habari za kuleta masuala ya dini kwenye mambo yanayopaswa yawekwe ktk umoja wa kitaifa yeyote uwaye utaonekana mjinga na kituko.

Na Kiswahili fasaha neno “mjinga“ siyo tusi mjinga maana yake ni unafundishika so unayo nafasi ya kujifunza tujadili mambo kwa ufahamu wetu na umoja wetu siyo kwa sababu ya itikadi zetu.
 
Mimi sikuandika vile kwa sababu nataka kuijua imani yako uwe yeyote lakini ukishaanza habari za kuleta masuala ya dini kwenye mambo yanayopaswa yawekwe ktk umoja wa kitaifa yeyote uwaye utaonekana mjinga na kituko.

Na Kiswahili fasaha neno “mjinga“ siyo tusi mjinga maana yake ni unafundishika so unayo nafasi ya kujifunza.
Huna haja ya kuwa na hasira kwenye suala ambalo ni kweli, huwezi kuwatenganisha waislamu na juhudi za kupigania uhuru wa Tanganyika. Wakati mwingine ni busara kuukubali ukweli hata kama hatuupendi. Inawezekana kuna wakati mzee Mohamed Said anaongeza na upenzi wa dini yake, lakini hilo haliuondoi ukweli wenyewe. Hata walioamua kuificha historia hii walikuwa na hofu na uoga kama ulionao wewe.
 
Kwa kusema kauli hii moja kwa moja kunakufanya kuonekana mjinga na mzigo ktk jamii,ni hatari leo kuwa na kijana anaewaza ujinga huu ktk circle ya taifa mawazo haya yaache waondoke nayo wazee dizain ya huyu mzee hapa wewe jifunze kujenga umoja.

Uislam au Ukristo au chochote kwa ubinafsi wake na historia ya nchi wapi na wapi tumieni akili.
Saint...
Umoja ungekuwapo EAMWS isingepigwa marufuku.

Ingeachiwa iwepo ijenge Chuo Kikuu kilichokusudiwa.
 
Back
Top Bottom