Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #21
The...Mzee Said usiku wa kuamkia leo umelala.
Juma lililopita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The...Mzee Said usiku wa kuamkia leo umelala.
Baba shkamoo.....The...
Juma lililopita.
Basi kitanda ghalibsana hiko zama hizi,The...
Juma lililopita.
Eve...Baba shkamoo.....
Mzee wangu nakiomba bure usafiri nitagharamikaKITANDA CHA SEMADARI
Picha hiyo hapo chini ni picha ya kitanda ambacho nimeamka leo asubuhi.
Jana usiku nilipopanda kulala sikukiangalia vizuri kwa mchoko wa safari.
Kitanda cha semadari nimekilalia miaka 70 iliyopita Mtaa wa Kipata katika nyumba ya makuti juu na chini hakuna sakafu ila ni ardhi yenyewe.
Sihitaji kukueleza zaidi kwani naamini umenielewa.
Kitanda cha semadari kikapotea kwa miaka mingi.
Hakuna mtu anaelalia kitanda hiki siku hizi.
Naambiwa hivi sasa kitanda hiki Semadari kimekuwa kitanda cha thamani kubwa kinachowekwa katika mahoteli makubwa kuvutia wateja.
Nde...Mzee wangu nakiomba bure usafiri nitagharamika
Uzalendo...Hongera Mzee Leo umeandika bila kuweka udini
Mdini sana huyuWe mzeee hichoo kitandaaa umesahau kusema kiligunduliwa na waislam...... hata hata selemara ni muislamu..... pia sema kitanda hii akilala mtu sio muislam kina mtupa chini....... maaana ww mzee tushakuzoea kila kitu waislam
Wee!! subiri...kuna kitu analenga...Hongera Mzee Leo umeandika bila kuweka udini
Otoro...Mdini sana huyu
Otoro...Wee!! subiri...kuna kitu analenga...
Mohamed Said asante sana nimekuona kwenye Interview yako ya "Uncensored"KITANDA CHA SEMADARI
Picha hiyo hapo chini ni picha ya kitanda ambacho nimeamka leo asubuhi.
Jana usiku nilipopanda kulala sikukiangalia vizuri kwa mchoko wa safari.
Kitanda cha semadari nimekilalia miaka 70 iliyopita Mtaa wa Kipata katika nyumba ya makuti juu na chini hakuna sakafu ila ni ardhi yenyewe.
Sihitaji kukueleza zaidi kwani naamini umenielewa.
Kitanda cha semadari kikapotea kwa miaka mingi.
Hakuna mtu anaelalia kitanda hiki siku hizi.
Naambiwa hivi sasa kitanda hiki Semadari kimekuwa kitanda cha thamani kubwa kinachowekwa katika mahoteli makubwa kuvutia wateja.
Otoro...Mdini sana huyu
Bush...Mohamed Said asante sana nimekuona kwenye Interview yako ya "Uncensored"
Ukiongelea Mapinduzi ya Zanzibar nimefurahi sana.
Basi nilipokuona kwenye ile video sikuamini kama ndio wewe naye kusoma hapa JFs.Bush...
Ahsante sana ndugu yangu.
Bush...Basi nilipokuona kwenye ile video sikuamini kama ndio wewe naye kusoma hapa JFs.
Hakika wewe mzee ni hazina.
Zanzibar zipo Hotel kubwa za shamba na Stone Town zina hivyo vitandaHao waliokwambia walikuelezea ni mahoteli gani hayo makubwa yenye hivi vitanda....
Uzuri wako unaandika historia ya kweli iliyofichwa kwa makusudi. Vijana wanaosema wewe mdini wanahitaji kujitafakari zaidi. Huwezi kuutenganisha uislamu na historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.Otoro...
Sijasahau nilikuwa nina hakika hili halihitaji kuelezwa kwa kuwa liko bayana sana.
Hiyo ndiyo sababu sikusema kuwa waliokuwa wakichonga vitanda hivyo ni Waislam na waliokuwa wakivilalia ni Waislam.
Kwani leo nikikutajia majina ya walioasisi African Association 1929 na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1933 majina yao yatakushangaza?