FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
huyu pdidy asipokopi stori za mapenzi kwa shigongo au kwokwote huwaga hana constructive threads
kumbe loh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu pdidy asipokopi stori za mapenzi kwa shigongo au kwokwote huwaga hana constructive threads
Kuwa na akaunti ya familia si lazima, na wala si kigezo pekee cha kuonyesha umoja. kama mimi sina akaunti ya familia, na ikitokea kuna ishu inatakata pesa na mcnango wangu unahitajika (coz si mara zote lazima nichangie) tunaongea tunakubaliana natakiwa nitoe ngapi na baba ngapi tunaimaliza and life goes on. But all in all it depends mnavyotaka kuishi, and whatever suits your sirtuation lakini hakuna general rule as you put it my dear Zd.Pengine mimi ni matatizo ya kiswahili sielewi vema Carmel,Kuchanga sikatai ila nilidhani the best way ni mipango ya pamoja.Namaanisha kuwa wanandoa lazima wawe na mipango yao short-term,long -term hata ermegencies.Na kwa vile hiyo Mipango mingi mara nyingi solution yake ni pesa basi ni muhimu kuwa na Akaunti maalumu ya familia kwa masuala kama hayo.mwisho wa mwezipengine mtasema,mama unapata 1m na baba laki2,basi katika ile akaunti mama atatoa laki 9 na baba laki moja,then zikichanganywa ndo mnanunua hiko kitanda.
Vinginevyo kwa mawazo yangu lakini ,kama mnasubiri hitaji lije ndio mnaanza kuchangishana ni tatizo na linaondoa ule umoja wenu.
nunueni kinginge. Kitanda cha kawaida kabisa mnaweza kupata kwa laki moja, so for the sake of your starehe and peace of others, changeni 5o kila mmoja. All the best.
Ila maswali mengine are not worth asking!
why? Usiogope.unaninyanyapaa na hiyo avata yako
unaninyanyapaa na hiyo avata yako
wakati wa shuguli mi na mkewangu tunapofanza mapenzi mara nyingi huhofia kelele kwa watu wengine wanaweza kutususikia kitanda hupiga kelele sana mke wangu huwa hajali hilo..lakini mie inanitia wasiwasi jee huu ni uzembe, starehe???
Mkuu shusha godoro chini au pale pale kwenye kitanda shusha chaga za kitanda chini then unakuja godoro litakuwa juu za chaga mbona hapo mkuu utabinjuka style zote kwa ss wazee wa kujikunja unakuwa mdogo kama nyani ukijiachia balaa.
Safi ulijuaje????
nunueni kinginge. Kitanda cha kawaida kabisa mnaweza kupata kwa laki moja, so for the sake of your starehe and peace of others, changeni 5o kila mmoja. All the best.
Ila maswali mengine are not worth asking!
Mkuu shusha godoro chini au pale pale kwenye kitanda shusha chaga za kitanda chini then unakuja godoro litakuwa juu za chaga mbona hapo mkuu utabinjuka style zote kwa ss wazee wa kujikunja unakuwa mdogo kama nyani ukijiachia balaa.
mnhhh, hilo godoro la zege nini??Na wenye yale magodoro mazito inakuwaje. Nina godoro hata wanaume watatu wenye nguvu hawanyanyui!!
By the time unamaliza kushusha godoro, hata hamu ya kunaniii inakuwa ishaisha!!
Weka CCTV kamera ndani uweze kugundua anaekiregeza.
Both Sir. Siwashangai kuna wenzenu kila siku wakati wa majambozi kitanda lazima kidondoke chini. Can you imagine lakini hawajawahi kukibadilishawakati wa shuguli mi na mkewangu tunapofanza mapenzi mara nyingi huhofia kelele kwa watu wengine wanaweza kutususikia kitanda hupiga kelele sana mke wangu huwa hajali hilo..lakini mie inanitia wasiwasi jee huu ni uzembe, starehe???
Lakini nimekumbuka kitu kimoja majambozi yananoga kitanda kikipiga makelele kama vile kwichi kwichi kwichi kwichi. Mzuka babake, hamjui tu nyie, eti mnaona kuwa wamekosa pesa za kununua kitanda, who told you
Kiacheni hivyo hivyo nyie wandoa
unaninyanyapaa na hiyo avata yako
Si umeonae?
Maswali mengine jamani, mweh! Tutasikia mengi....mmhh!....haya bwana!wakati wa shuguli mi na mkewangu tunapofanza mapenzi mara nyingi huhofia kelele kwa watu wengine wanaweza kutususikia kitanda hupiga kelele sana mke wangu huwa hajali hilo..lakini mie inanitia wasiwasi jee huu ni uzembe, starehe???
kifanyie ukarabati, kama vipi nini weka godoro chini (sakafuni)!