Kitanda kinazaa haram, sheria ya kupima DNA iangaliwe upya

Sio vinasaba tu, sheria zote zinazohusu masuala ya mahusiano na ndoa zinatakiwa kupitiwa upya kwa sababu zinamkandamiza mwanaume, na wanawake washaona izo loopholes kwaiyo wanayatumia mahusiano kimkakati.
Ni kweli kabisa. Ukichunguza vizuri sheria yetu ya ndoa ni utapeli mtupu kwa mwanaume.
 
Sasa ona mambo kama haya
 
Huo ni ubwege uliopitiliza.
Hii kisheria umauacha kabisa. Kwanza kakusababishia msongo wa mawazo.
 
Angalizo
Kuna baadhi ya Wanawake wanaficha siri za wanaume wao kwa kushindwa kuzaa nao kutokana na sababu mbalimbali za kiafya za waume zao, ikiwa kila mtoto atatakiwa akapimwe DNA kuna ndoa nyingi zitaishi bila kupata watoto.
 
Ubarikiwe sana mkuu umeeleza mambo ya msingi inaumiza ukute umefanyiwa haya
 
Hiyo sheria ipo sawa kabisa. Tena imesema "katika kutekeleza majukumu yake, mamlaka husika itazingatia maslahi mapana ya mtoto" , ina maana ya kwamba, ikiwa mtaalamu kagundua kwamba mtoto si wako, basi Hakimu inampasa akusomee majibu kwamba mtoto ni wako
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee kipindi cha mimba unampima DNA nani sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…