Kitanda kizuri Cha chuma 5X6 kwa Bei rahisi 120,000/- Madale Mwisho - DSM

J Mbungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
269
Reaction score
74
Nauza kitanda chuma 5X6 kwa Bei rahisi kabisa 120,000/ bad kipya kimetumika miezi4 tu!( Kimsingi hiyo elf20 itakuwa nauli ya kukuletea ulipo,hivyo (naamini kwa maeneo ya mbeZi,tegeta,goba au bunju hiyo nauli itosha kukifikisha ,ili adhima ya kupata laki1 nayohitaji itimie)!.

Kipo Madale Mwisho DAR es salaam.
Wasiliana nami kwa namba 0784355775

NOTE: Sitakuwa hewani/online hapa kujibu maswali hivyo Kama unakihitaji nitafute kwenye simu 0784355775
Natanguliza shukrani 🙏
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…