Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana ushauza godoro au ulimaanisha kwamba vyote vipi bado? Nimekuunganisha na mshkaji anaitwa Mshana atakucheki, Niko nae hapa anakunywa, nimemshauri kuliko any we zote ziishe ni bora aje kununuaUpdates
Wadau kitanda bado kipo na bei imeshuka mana hali ya uchumi imekuwa ngumu sana
Bei mpya ni 200000/=
Sawa mkuu.Mkuu huko Nina pa kuanzia nataka. Iyo pesa niongezee nkajipange siunajua msimu wa kilimo huu
Mkuu mungu anakuona lol 150k150K nije kesho nichukue mkuu