Kitanda na godoro vinauzwa milioni 1.3

Kuna carrying capacity ya dunia bado ni kubwa sana ikilinganishwa na idadi ya watu waliopo. Angalia mfano mdogo wa Tanzania. Ukisafiri kwa basi utagundua maeneo mengi ni maporini na sehemu zilizo na makazi ya watu ni chache sana. Hence kuna uhitaji wa watz kuendelea kuzaliana kwa wingi.
Hayati Magufuli hakukosea kuhamasisha watu wazaliane kwa wingi.
Dunia Haina upungufu wa watu mkuu, ila inaelemewa na watu, watu wanatombana na kuzaa hovyo, kitanda kikubwa siyo shida.
Y
 
Magufuli alisema fyatueni watoto 🀣🀣 zaa kama mbwa
 
Kwa bidhaa za mbao kwa sasa sioni ajabu.
Kuna saa namtajia bei mteja huku natemeka ndani kwa ndani .

2/8 ya mninga kwa kule dar ni karibu lakini na 20, kwenye hiko kitaanda haipungui mbao nne , weka finishing, chaga na material mengine ! Bila laki saba hiko kitanda hakitengenezeki.
 
Ukienda dukani unapata kali zaidi ya hicho kitanda na godoro juu na change ya iphone 11 pro used
 
Pamoja na usingizi wake inakuwa bei gani?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…